Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mm ni mpole siku zote, na kawaida huwa sipendi kero kbs. Huwa nina namna yangu ya kushusha hasira.
Shida ni pale unakuta hasira iko juu.
So far nilipasua mara moja tu, badae akanisoma nikoje ht naona hapati shida tena.
Upole ule umepotelea wapi? Hizi hasira zimekuanza lini? Hako katoto nako kanafoka au kanajigaragaza kakiwa na hasira? Hamkatii kibano au mnakadekesha tu?
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] ukitaka yaishe, nenda kanichumbie upya.
Hayo mambo ya mwanga sijui na nn kwa sasa hayana nafasi.
 
Hahahahaha, wewe nawe unaweza kumchapa mtu kibao[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…