moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hivi mnayo nafasi kwenye ushindani wa top 4Man Utd mambo mazuri.
Umeona eehIvan alimiliki zaidi ya hivo na vyote kaviacha duniani.
Mmh ndiyo wapi huko ankoMungu ni mwema. Nipo uelekeo wa Kilasilo, sema chochote
Ni boda AnkoMmh ndiyo wapi huko anko
Salaam Zoè mwenzako yuko ?Mmh ndiyo wapi huko anko
Salama....hujamboGmorning
AminMungu atupe siku njema..
Amin[emoji120]Ijumaa iwe ya Baraka...
Hio habari umeitoa kwa haters moud. Mange in disguise huwa hana zuri la zari.Swadakta[emoji120][emoji120].
Mtu mzima na kundi la watoto watano anakuja kutangaza aibu zake hadharani.
Hana aibu kabisa, kisa nini,? Gari?