Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Labda aliachika, maana ndoa za siku hz kuachana ht sio kazi ngumu.
Km shishi tu na uchebe, wameachania kwenye mahakama ya Instagram
Nimemdharau mwanamke huyu alivodanganya watu Kaolewa na Politician wa SA, baada ya Diamond kuwa single na KingBae kayayuka [emoji1787][emoji1787]
Mwanzo nilifkiri watu wanamwonea kumbe kweli
 
Hivi mzee Kimambi alianzia maisha Kitomondo kule chini?
Alifedheheshwa sana. RIP
 
Hakuna kesi za kijinga km hizo, siku wakipatana wanaanza kukusema na kukuona ulikuwa unawaonea wivu waachane[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
.....Kesi za mapenzi? Nilijifunza kusikiliza pande zote mbili...halafu natumia akili za kuambiwa nachanganya na za kwangu....nadhani mmenielewa...[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
MJUE MALKIA CLEOPATRA VII : Maana halisi ya urembo na akili

Cleopatra ni malkia aliyewahi kuongoza nchi ya Misri kuanzia mwaka 51 kabla ya Kuzaliwa kwa Yesu Kristo hadi mwaka 30 Kabla ya kuzaliwa Yesu Kristo .. Wanazuoni wanasema kuwa Cleopatra ni mwanamke pekee asiyekuwa na asili ya Misri kuwa kiongozi wa juu hapo Misri. Licha ya urembo wake na sauti ya kumtoa nyoka pangoni lakini bado alibarikiwa uwezo mkubwa wa akili na maono ya kutaka kuifikisha Misri pale alipopataka yeye

Cleopatra alizaliwa Misri 69 Kabla ya Yesu Kristo na ndie kiongozi wa mwisho wa dola ya Kiptolemaiki ...
 
Chini ya uongozi WA Ptolemy I Soter ilikuwa ni sheria kwanza ili wailinde hadhi ya ukoo wao ilikuwa ni lazima kuoana ndugu kwa ndugu hivyo Dada mtu kuolewa na mdogo mtu ilikuwa ni kawaida.... Lakini sheria ya pili ilikuwa ni lazima kwa kiongozi yoyote atakayefanikiwa kuwa mfalme ajiite Ptolemy na mwanamke lazima ajiite Cleopatra
 
Cleopatra VII ndio aliyeiangusha dola hii ya kiptolemeiki

Kwa Cleopatra uzuri wake ulikuwa ni silaha kubwa ambayo aliweza kuitumia kwa ajili ya kujifaidisha au kutimiza yale aliyoyakusudia... Lakini kichwani pake ndio palikuwa hazina ya kila kitu... Cleopatra alikuwa ni mtu aliyependa kujifunza ushaihid wa hayo ni kuweza kuzungumza zaidi ya lugha 6 ikiwemo lugha ya kimisri ...Kwan hapo awali viongozi wote hawakuwa wakizungumza lugha Hiyo isipokuwa yeye tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…