Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vera Caslavska Ni mmoja Kati ya Wanawake wawili waliowahi kushinda medali ya dhahabu katika mashindano ya olimpik mawili mtawalia ( consecutive)Lakini pia katika historia yake hatoyasahau mashindano ya Olympic yaliofanyika mwaka 1968 nchini Mexico Akiwa katika maandalizi ya mashindano hayo, nchi yake ya Czechslovakia ikaingia kwenye machafuko hali iliyompelekea akimbie bila ya vifaa vyake vya mazoezi
 
Akiwa huko hakukata tamaa bali aliendelea kufanya mazoezi kwa kutumia magogo, matawi ya miti na kubeba magunia ya viazi Alipokwenda kwenye mashindano hayo alifanikiwa kushinda medali ya dhahabu (maana yake kuwa mtu wa kwanza)Katika maisha yake amefanikiwa kuchukua mataji 22 ukijumuisha medali 7 za olimpik
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…