moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
HujamboNawasalimu..
daaaaaaaah eti wapakwa mafutaNyie ndio wale wapakwa Mafuta
Huyu hachoki tyuuh khaaaah
Hata aibu hana kwa kweli lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ndiye mwanasiasa wa maisha.
Mwanasiasa Stephen Wasira ni mtu asiye na bahati.
Mwanasiasa huyu angebahatika kupata urais wa Tanzania tungekuwa na rais wa maisha kama ilivyokuwa kwa Kamuzu Banda, Mobutu Seseseko au kama ilivyo kwa Yoweri Museveni wa Uganda, Paul Biya wa Cameroon.
Mzee Wasira gombea urais ufaidi siasa View attachment 1507569
Tulifanya mechi ya marudio nilipiga t@ko hatari sana mkuuHuwa inatokeaga sana aisee. Ila makosa unayarekebisha kwenye mechi ya marudio [emoji16][emoji16][emoji16]