Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mwalimu alikuwa sahihi. Shakira hawezi kuimba ila mauno sasa uwiiiiiii [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Mwanamuziki Shakira, Alikataliwa kujiunga na Kwaya ya Shuleni kwao kwa sababu Mwalimu aliona Shakira ana sauti kama ya Mbuzi.
Usiku wa jotojoto
Huu mwandiko wa kusimama kama naujua vile?!!Majukumu tu mkuu
nashindwa shika simu kwa wakati ahsante kwa kushea nami maarifa
Ni kifo tu kitakacho nitenganisha na haya mambo... Ahsante Mungu hakuna dhambi katika hili... Ngoja nikaisome vizuri Warumi 14
Aseee, Marekani wana hali baya sana
Mpiga pamba maarufu tokea Kenya
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Siku nikiona msambwanda wa kufa mtu halafu nisipate furaha moyoni ndiyo nitajua kuwa nimezeeka na wakati wa kukaacha haka kasayari kazuri umewadia...Ni kifo tu kitakacho nitenganisha na haya mambo... Ahsante Mungu hakuna dhambi katika hili... Ngoja nikaisome vizuri Warumi 15
Wajumbe wanaweza kula hela zako na kura usipate[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupo vizuri kabisa namshukuru Mungu. Nimekufanananisha na kijana mmoja machachari na mwenye upeo mkubwa sana... D... .V...ncMkuu mwandiko kusimama kivipi.?
imebidi nikague kama upo Italic.
Ni kwema mkuu...wewe na familia je.?
Mbaya sana. Na inazidi kuwa mbaya tu. Tatizo kiongozi yupo kama hayupo. Hakuna mikakati ya pamoja kama taifa bali ni kila jimbo linapambana kivyake. Rais mbovu anaweza kuangamiza taifa - haijalishi lina nguvu kiasi gani...na madola mengi yameanguka sababu ya kiongozi mmoja tu asiye na maono!Aseee, Marekani wana hali baya sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Siku nikiona msambwanda wa kufa mtu halafu nisipate furaha moyoni ndiyo nitajua kuwa nimezeeka na wakati wa kukaacha haka kasayari kazuri umewadia...
Walimnyoosha sawa sawa. Siku ile alikuja hapa hata maK-Vant yake yamegoma kupita kooni kutokana na maumivu ya kupigwa na wajumbe....Wajumbe wanaweza kula hela zako na kura usipate[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi mzee wa liver [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Aliyekutwanga hiyo laana alikuweza haswa! π π πNi kifo tu kitakacho nitenganisha na haya mambo... Ahsante Mungu hakuna dhambi katika hili... Ngoja nikaisome vizuri Warumi 14
Mzee ho chi minh hakutia nia kweli? Amekuwa mpole sana kuliko hata JIRANI [emoji1][emoji1][emoji1]Wajumbe wanaweza kula hela zako na kura usipate[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi mzee wa liver [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aliyekutwanga hiyo laana alikuweza haswa! [emoji28] [emoji28] [emoji28]