Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu class mate alikuwa kimbaumbau. Mwaka juzi vu bin vu kukutana naye kafumuka kawa jimama dah! Tulisalimiana kwa muda mrefu sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1519082
Sasa kama haukuwekeza mapema kulianzisha inakuwa ngumu sana. Kwahiyo mliongea tu mkaishiana hapo hapo?
Ai wishi....
 
Family that's all matter, Vizuri sana kama mpo salama.
Ni Vinc mwenyewe hujamfananisha mkuu.
umenipa sifa nisizo stahili mkuu.
i wish I could be as you referred me
Gratitude mkuu
Ukiendelea hivi ukija kufikisha miaka 75 kama mimi utakuwa a walking Think Tank. Kwa kweli uko vizuri sana na una uelewa wa kina wa mambo mengi mbalimbali. Endelea kujisomea na kurutubisha hizo talanta zako bila kuchoka [emoji1545]
 
Mapokezi ya Tundu Lisu yanaweza kubadirisha nguvu ya upepo View attachment 1519169
Hii picha ni ya leo/jana kweli kamanda?

Hakuna atakayefikia mtikisiko wa Eddo 2015. Wanaume walideki barabara na kulinda hoteli aliyokuwa akilala. Niliamini kabisa CCM kwishnei...ila tofauti kwa TL ni kuwa yeye ni mwongeaji na mjenga hoja mzuri. Kampeni zitawaka moto kweli kweli. Ngoja tuone na tuombe tu kila kitu kifanyike kwa amani [emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…