moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Navyojua ushindi kwake ni mgumu, likini kutokana amsha amsha yake akifanikiwa kukipatia chama chake angalau wabunge 50 ni mafanikio kwa siasa za sasa.Hii picha ni ya leo/jana kweli kamanda?
Hakuna atakayefikia mtikisiko wa Eddo 2015. Wanaume walideki barabara na kulinda hoteli aliyokuwa akilala. Niliamini kabisa CCM kwishnei...ila tofauti kwa TL ni kuwa yeye ni mwongeaji na mjenga hoja mzuri. Kampeni zitawaka moto kweli kweli. Ngoja tuone na tuombe tu kila kitu kifanyike kwa amani [emoji1545]
Sugar Ray [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Wapi mzee wa Mwakaleli.
Miaka ileeeee, barabara ya Temeke, kona ya mtaa wa Yombo, pale Sokota.
Kumbuka hiyo[emoji23][emoji870]View attachment 1519171
Ni class mate wake wa chuo,mwachie hiyo 75 yake tutaenda naye hivyo hivyo [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Nimecheka sana, maana mzee wetu na miaka yako 75 lakini huyo class mate wako daaa, ni shida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
KheriSalam kwenu
[emoji23][emoji23][emoji870]Sugar Ray [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mzee wa pwani umenikumbusha mbali sana... Ilikuwa kama kichocheo yaani, baada ya mida mida ni kuvuka barabara kichochoro cha kwanza tu Wahay...hawa hapa wamenjipanga. Unatia timu kwa bonge mweusi [emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23]Ni class mate wake wa chuo,mwachie hiyo 75 yake tutaenda naye hivyo hivyo [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]