Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duu inaonyesha kitindamimba wewe hukujichanganya na marafiki upate stori za mitaani.
Mi bwana miaka 16 tu tayari tunapitia
Mitaa yetu pendwa, mtaa wa Ndalala, mtaa wa Mtoni, mtaa wa Leo, mtaa wa Miteja yaaani unajichagulia tu.
Mkiona vipi mnaenda Keko Toroli, mambo yalikuwa siyo mchezo zama hizo.
Wapi Andjul
Yaaani daaaaaaa[emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Last born nilikuwa msikivu sana hasa kwa mama. Akinikataza kitu nilikuwa sikifanyi. Naenda fomu siksi ananichimba mkwara eti Ukipata huu ugonjwa mpya huu usirudi nyumbani. Waambie wakuzike huko huko. Ilikuwa kila nikikumbuka kauli hii na maumivu nitakayosababisha basi narudi kwenye mstari. Nilikuwa nawasindikiza wenzangu halafu mi nabaki nje hata kama pesa ninazo.

Mgumu orijino [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Duniani tunajifunza kila siku. Na ukikata shauri kujifunza kila siku na kufanyia kazi yale yote unayojifunza maisha yako yatakuwa yakibadilika siku baada ya siku. Unahitaji maamuzi magumu ili kubadilika.
Kama kuna jambo mojawapo muhimu unatakiwa kulijua kwa kina basi ni ile saa yako ya kwanza unapokua umeachia kitanda namaanisha asubuhi uamkapo na pia saa yako moja kabla ya kulala.
[emoji106][emoji106]
 
Maji ni dawa. Magonjwa mengi yaliyokuwa yakikusumbua siku za nyuma hutayasikia tena. Anza kubadili tabia kwa kuchagua kunywa maji badala ya soda au juice za mabox. Pendelea maji
Kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…