Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Jamaa anajua sanaView attachment 1519414
Jump to champions league
Msambwanda ungekuponza wallahi mane lavusi mi ende ai tachi niu mane everedei Masaki izi mai homu japo kwa sasa nimehamia Dubai [emoji1734][emoji1734][emoji1734]Shwaini zako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilijichanganya siku moja mitaa ya Keko Toroli, nikakutana na mama Muba ana bonge la tak, kwa jinsi alivyo kuwa anazungusha ikawa tofauti na wale wengine, nikaweka kambi hapo. Kila jioni ya hamu najitokea Sokota nakula chocho la mzee Temba (baba yake Mheshimiwa Temba) huyo makaburini natokea Wapiwapi's bar.
Siku nikamkaba aeleze anawazungushia wangapi hivyo? Akajibu ananipenda na yeye ni mzaramo wala hajiuzi. Ilibaki hiviiii [emoji108][emoji108]nimuoe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Messiah...mimi mwenyewe sijawahi icheki japo trailer yake huwa inanivutia kuitazama,nmeiweka pending hii
- wewe muhuni ile project ya wafaransa nitaipatia wapi?
- messiah haijanivutia ila imemaliza vizuri baada ya tukio la kuanguka kwa ndege(ameonyesha muujiza kwa wasiomuamini)
- Raymond "Red" Reddington akianzisha dini nitakuwa mfuasi wake, hatimaye season 1 nimeimaliza...... najipanga kuitafuta season 2 ya the blacklist
- usisite kuniongezea pombe nyengine
Ankoo bhana [emoji23][emoji23][emoji23]Shwaini zako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilijichanganya siku moja mitaa ya Keko Toroli, nikakutana na mama Muba ana bonge la tak, kwa jinsi alivyo kuwa anazungusha ikawa tofauti na wale wengine, nikaweka kambi hapo. Kila jioni ya hamu najitokea Sokota nakula chocho la mzee Temba (baba yake Mheshimiwa Temba) huyo makaburini natokea Wapiwapi's bar.
Siku nikamkaba aeleze anawazungushia wangapi hivyo? Akajibu ananipenda na yeye ni mzaramo wala hajiuzi. Ilibaki hiviiii [emoji108][emoji108]nimuoe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo. Ni huzuni. Enzi za Nyerere sera yake ya kuchanganya vijana. Mwaka wetu mikoa ya Shinyanga na Mara tulisombwa wengi tukaenda kumwagwa huko. Tena katika mojawapo ya shule bora kabisa enzi zile. Alale pema mzee Nyerere kiona mbali yule vinginevyo makabila mengine tusingesoma.Mpya kaja juzi [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mkuu mwishoni umemaliza kwa huzuni kubwa,wanadamu tunapitia mitihani migumu ya kiimani, lililokatazwa ndilo lipendwalo kufanyanywa.
Mungu asituache peke yetu katika hili [emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23]na kweli kabsa, hatuna tofauti na wajumbe, tunakuwa tunakucheki tu kama unapuyanga au upo sehem sahihiNa unishtue siku nikiporomoka, maana nyie mashemeji kama wajumbe[emoji23][emoji23].....Huku kwema kabisa, Mungu ni mwema.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Daktari leo kazi anayo tena pevu...
View attachment 1519726
Zitafute pesa kwa nia njema ndiyo zitakuja kirahisi kamanda [emoji16][emoji16]Hizi pisi znanifanya ntafute pesa kwa uchungu sanaaaaaaaa
Mdaka chozi nipo hapa nikubadlishie biashara 😜Tangu yule Mfalme aliponitelekeza,
Hatari sanaJamaa anajua sana
jina la series hujaweka
Mashem shemNa unishtue siku nikiporomoka, maana nyie mashemeji kama wajumbe[emoji23][emoji23].....Huku kwema kabisa, Mungu ni mwema.
AminMungu atupe afya na uzima[emoji120][emoji120]
Zitafute pesa kwa nia njema ndiyo zitakuja kirahisi kamanda [emoji16][emoji16]