Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Membe ana ego ya ajabu. Anataka kuachiwa agombee yeye kama nani? Si ajabu hata atataka Lisu amwachie. Ana sifa zipi ambazo wengine hawana? Ukachero ama? Pesa?
Ila huyu jamaa wangemsikiliza, mi sidhani kama analazimisha aachiwe yeye.
Cha msingi wamsikilize kisha wambane .
Haiwezekani kila anayekulupushwa CCM akifika upinzani aachiwe agombee.
Vnginevyo kila chama kitoke kivyake wakutane kwenye sanduku la kura
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ankoo nimecheka sana
 
Asantee anko...Yani wee acha, nilihadaika mchana mchana 😌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…