capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Alikosa msahauri.Aisee, nmeona nyuzi zake nyingi zilikuwa na kuonesha msongo wa mawazo alionao..
R. I. P member mwenzetu
Hahahahaha, sawa kakaNajaribu kuvaa viatu vya Klopp, namuelewa! Lazima uwe chizi kiasi. Miaka 30 bila kikombe si mchezo Bro..!
Ameandika Histry kwa majogoo wa London.
Bado namuelewa na nadhani Fergie pia alielewa.
Ni kweli broAlikosa msahauri.
Wakati mwingine JF si mahala pazuri pa kupata ushauri thabiti.
Nimesoma thread yake moja na sikuona kama alipata alichokihitaji ni mzaha tu na hata yeye alifanya reply za mzaha kwa swala ambalo ni serious sana kwake.
Hawana tako mbona....Rambo na mabint zakeView attachment 1520555
Ukiwa nchi zinazojitambua tako siyo pambo kwa mwanamke.Hawana tako mbona....
Alikuwa anahitaji msaada lakini ndo hivyo. RIP [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Aisee, nmeona nyuzi zake nyingi zilikuwa na kuonesha msongo wa mawazo alionao..
R. I. P member mwenzetu
Duuu.Watu wanamua attack huyu dada juu ya comment yakeView attachment 1520772