myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sawasawa,,,,Ndio ndege ghari zaidi duniani katika aina zote za ndege, ziligharimu dola bilioni 2.1 kwa kila ndege zaidi ya Tshs trilioni 4.8. Mradi uligharimu dola bilioni 44, sawa na tshs trilioni 101 na zaidi.
Mpaka sasa zipo 21 tu na zinamilikiwa na jeshi la Marekani pekee.
Kweli kabisa,,,22. Hushusha kolesto
Na yale mambo ya wakubwa je? 😂 😂 😂30. Dawa nzuri ya kuondoa uchovu
Yale mazoezi tu hahahaNa yale mambo ya wakubwa je? 😂 😂 😂
Hatariii.....