Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Masikini Arsenal...
Ila wameambulia FA
 
Kweli kabsa ankoo.. Uzi huu umejaa busara za kila aina,watu wakiamua kufunguka basi tunapata chakula ya ubongo safi kabsa..

Kwema hapo nyumbani ankoo?salamu zangu zifikishe..

Kuna siku nilikuona kwa mbali mitaa flan hivi, niliishia kucheka tu.. Hekima na busara zako zinahitajika sana hasa kwa kizazi hiki tulichopo..
 
Bro na moud wakiamua kufunguka kwa busara huwa wanafunguka kweli bila kukusahau anko nawe upo vizuri
Mimi umenijaa ujinga wa makorokocho ya misambwanda tu, lakini ukikutana na gazeti la Dae unawaza mara mbili mbili kuwa huu uzi umekusanya mijamaa misomi halafu haina stress za kisiasa... Tangu nigundue hivyo maujinga yangu nimeyahamishia MMU...
 
Tunajifunza mengi hapa.
Uwepo wako, profesa SHIMBA YA BUYENZE , mhandisi Yegomasika na mchambuzi nguli wa uzi huu Numbisa inatuongezea vitu kwenye vichwa vyetu vilivyotawaliwa na vurugu za kutafuta mkate
 
Mungu ni mwema Ankoo, tuendelee kumtegemea kwa kila jambo ili tuweze kuyafurahia mema ya dunia yetu hii nzuri japo tunaifanyia vitimbi vya kila aina.... Nina hofu siku ikiamua kuzira na kujipindua itakavyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…