Wadau wa halotel tupo wengiHio unlimited huwa inanitendea mema na miujiza nikiunga leo ya buku jero navuta drama vizuri,kesho yake nikiweka jero nikaunga usiku napata unlimited nyingine eti
RIP hizi pichaMWILI wa mrembo Jemima Oresha aliyetumbukia katika maporomoko ya Thompson Falls Nyahururu nchini Kenya _ umeopolewa juzi Jumatano, Agosti 5, 2020 na wakazi eneo la Rwathia kando ya mto ambao waliwajulisha polisi ambao walifika na kuuchukua. Naibu kamishna wa eneo hilo, Patrick Muli amesema mwili huo ulipatikana kilomita chache mbali na eneo alikotumbukia na kwamba Jemima alitembelea Thompson Falls ku-enjoy mandhari ya eneo hilo. Jemima mwenye umri wa miaka 39 alikuwa amesimama kwenye jiwe huku ndugu yake Mangafu akimpiga picha, kwa bahati mbaya alikumbana na mauti. Kikosi kilichowashirikisha maofisa wa KWS, polisi, kitengo cha dharura na wale wa Msalaba Mwekundu kilipinga kambi katika mto huo kuusaka mwili wa marehemu. “Mwili huo ulionekana na wakazi eneo la Rwathia kando ya mto ambao waliwajulisha polisi ambao walifika na kuuchukua,” Muli alisema. Naibu kamishna huyo aliwatahadharisha wakazi na kuwaomba kuwa waangalifu wakati wanavuka mito iliyofurika eneo hilo. Mwathiriwa alisafiri kutoka Kitale kaunti ya Trans Nzoia na alisisitiza kwamba kabla arejee nyumbani angependa kuzuru maeneo hayo yenye mandhari ya kupendeza. Familia yake imekuwa ikipiga kambi eneo hilo ikiitafuta mwili wa mpendwa wao. “Ilikuwa ni tamanio letu kuupata mwili wake ili tumzike mahali ambapo tutakuwa tukiliona kaburi lake,” kakake alisema. Mwili wake ulipelekwa katika makafani ya hospitali ya rufaa ya Nyahururu. **RIP JEMIMAView attachment 1529889
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]gamble au uhakika madame?
hahahahhaaaaa leo nimegonga internet kutoka saa 6 usiku mpaka 12 asubuhi........nimeamka saa 8 kamili mchana wa leo kwa kelele za harusi.........siasa inakaribia....ni muda muafaka wa kuongeza stocks kwenye store zetu....wengine wanahifadhi chakula na sisi wengine tunahifadhi series na drama.
kupanga ni kuchagua
Mkuu tupia kidogo zile misemo tata ya mkulu raia namba one ninamatumizi nazohuko kwenu mumejaza makabila, sijui ilikuwaje mukawa na taifa moja
YapTuna makabila mengi sana, lakini jambo la kushukuru sisi ni wamoja kuliko hata nchi zenye makabila machache kama wasomali , wanyarwanda, warundi na wakenya.
Sisi hapa kwetu kabila lako ni lako mwenyewe, hutabaguliwa kutokana nalo.
Mambo yetu yanaenda bila kujali makabila yetu.
Makabila yamebakia na kazi moja tu ya kutaniana
Amun RaMungu awaponye wagonjwa wote [emoji120] [emoji120]
KabisaJibu zuri !!!
View attachment 1529950
Huyo ndio real DTUbabe....
View attachment 1529954
Ukishakula Nyama ya mtu unatamani uendelee Kula tu in Mwl Nyerere voiceHuyu dogo naye dah!
View attachment 1529960
Nipo hapaNimefika hapa getini. Uko wapi?
View attachment 1530054
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yap yapUsiku wa Uefa
[emoji16][emoji16][emoji16]