Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
weweeeee nimezaliwa mwaka ambao farasi wa kike alizaa mbuziMatukio ya 1995 unayakumbuka kweli?!!!
Kuna sehemu nilikukuta unaelezea umri wako kipindi cha kombe la dunia Japan 2002.... Nilicheka sana [emoji3][emoji3][emoji3]
kumbe hayo ndio maua ya rosella, basi huku kwetu tunatengenezea juisi ya kuongeza usingiziKwa msaada wa Gugo nakuletea maua ya rossela.....Assignment uliyonipa imenikondesha[emoji852][emoji852]
#Babu kumbe na wewe una moyo[emoji2088]View attachment 1604165
nina miaka 35 ya kuzaliwaKuna sehemu nilikukuta unaelezea umri wako kipindi cha kombe la dunia Japan 2002.... Nilicheka sana
nikumbushe hivyo viassignment uchwara nilivyokupaAssignment uliyonipa imenikondesha
😁😁Rais wa Marekani donald trump amesema kuwa ikitokea akashindwa katika Kura za Uchaguzi wa Urais Mwaka huu dhidi ya Joe Biden , atafikiria kuihama nchi hiyo . Trump ameyasema hayo katika Moja ya mkutano wake wa Kampeni za Urais , na kusisitiza kuwa itakuwa ni fedheha sana kwake kushindwa dhidi ya Mwanasiasa mbovu katika hitoria ya nchi hiyo (akimaanisha Joe Biden) . "Mnajua kuwa Nina Presha sana kwasababu nagombea dhidi ya Mwanasiasi mbovu katika historia ya nchi hii , hivyo nikishindwa itakuwa ni aibu sana katika maisha yangu . Ikiwezekana naweza nikahama kabisa na nchi " - amesema Rais Trump
Duh....weweeeee nimezaliwa mwaka ambao farasi wa kike alizaa mbuzi
Mzee wa Mwakaleli hapa upo na vijana wako mnabadirishana mawazo, mnacheka kuongeza siku za kuishi[emoji23][emoji23]Matukio ya 1995 unayakumbuka kweli?!!!
Kuna sehemu nilikukuta unaelezea umri wako kipindi cha kombe la dunia Japan 2002.... Nilicheka sana [emoji3][emoji3][emoji3]
Umekula chumvi si haba kiongozi[emoji120]
Kwa maana hiyo wakati Mrema anaipelekesha CCM mwaka 1995 ulikuwa na miaka 10.
Usiku wa burudani [emoji23][emoji23][emoji23]Usiku wa pipiii....
Jamaa anatema shombo za kutoshaRais wa Marekani donald trump amesema kuwa ikitokea akashindwa katika Kura za Uchaguzi wa Urais Mwaka huu dhidi ya Joe Biden , atafikiria kuihama nchi hiyo . Trump ameyasema hayo katika Moja ya mkutano wake wa Kampeni za Urais , na kusisitiza kuwa itakuwa ni fedheha sana kwake kushindwa dhidi ya Mwanasiasa mbovu katika hitoria ya nchi hiyo (akimaanisha Joe Biden) . "Mnajua kuwa Nina Presha sana kwasababu nagombea dhidi ya Mwanasiasi mbovu katika historia ya nchi hii , hivyo nikishindwa itakuwa ni aibu sana katika maisha yangu . Ikiwezekana naweza nikahama kabisa na nchi " - amesema Rais Trump
swadakta, najua mhenga mwenzetu andjul atakanusha umri wanguKwa maana hiyo wakati Mrema anaipelekesha CCM mwaka 1995 ulikuwa na miaka 10.
Kumbe tupo wazee wengi hapa[emoji23][emoji23]
teh teh tehUsiku wa burudani [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1604381