Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lengo ni kuwakwepa watoto wenzio kimaongezi. Wewe tulikulea vibaya matokeo yake kila kichochoro cha dhambi unakijua[emoji2][emoji2][emoji2]
Huyu katubadilikia ukubwani; baada ya kuachana na Shiro wake. Wazazi tusijilaumu sana. We tried [emoji123][emoji123][emoji123][emoji1547][emoji1547][emoji1547]
 
Nimetia porojo nyingi katika kisa hicho ili kunogesha nogesha tu. Ndiyo alipewa bunduki lakini akashindwa. Kwenye interview anasema "I couldn't kill my Fidel. I love my Fidel" japo yupo 80+ sasa.

Fidel na Castro walikuwa ndiyo nguzo ya Ujamaa Amerika ya Kusini. Sema tu tatizo ni kama lililotukumba siye kwenye ujamaa wetu - rushwa, uzembe, unafiki na ubadhirifu japo pia ubabe wa Wamarekani nao uliwachachafya sana. Fidel, pamoja na kubanwa sana na Marekani kwa vikwazo vya kila aina miaka na miaka bado aliweza kujenga jamii yenye heshima heshima kidogo hasa upande wa elimu na mambo ya afya.

Chavez alimpenda na kumwamini sana Castro ndiyo maana ilibidi apate matibabu huko mpaka mauti yanamkuta kwa kansa ambayo inasemekana ina mkono wa Wamarekani sawa sawa na ile iliyomuua nabii wa Kirastafari kutoka Jamaica - Robert Nesta Marley...



 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Mtoto mpeleke huko akasome udaktari au ufamasia. Huwa hawafundishwi tu kuwa madaktari bora bali kuwa binadamu kwanza na Kuwa tayari kutoa huduma bure kama kwa kufanya hivyo kutaokoa maisha na binadamu mwingine hasa masikini asiye na kitu. Ndiyo maana madaktari wa Cuba utawakuta duniani kote wakitoa huduma bora kabisa kwa watu wenye majanga na shida.
 
Umri unakuruhusu Anko, mlimane kadiri muwezavyo,ukichoka mwachie mshika jembe atifue,wee hangaika kuyafuta "vumbi majani" ....maisha ni haya haya Anko [emoji3][emoji3][emoji3]
Mojawapo ya ushauri bora kabisa kuwahi kutolewa [emoji16][emoji16][emoji16]

Na kilimo kikizidi kilio rukhsa [emoji2221][emoji2221][emoji2221]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…