Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
SawasawaNimetia porojo nyingi katika kisa hicho ili kunogesha nogesha tu. Ndiyo alipewa bunduki lakini akashindwa. Kwenye interview anasema "I couldn't kill my Fidel. I love my Fidel" japo yupo 80+ sasa.
Fidel na Castro walikuwa ndiyo nguzo ya Ujamaa Amerika ya Kusini. Sema tu tatizo ni kama lililotukumba siye kwenye ujamaa wetu - rushwa, uzembe, unafiki na ubadhirifu japo pia ubabe wa Wamarekani nao uliwachachafya sana. Fidel, pamoja na kubanwa sana na Marekani kwa vikwazo vya kila aina miaka na miaka bado aliweza kujenga jamii yenye heshima heshima kidogo hasa upande wa elimu na mambo ya afya.
Chavez alimpenda na kumwamini sana Castro ndiyo maana ilibidi apate matibabu huko mpaka mauti yanamkuta kwa kansa ambayo inasemekana ina mkono wa Wamarekani sawa sawa na ile iliyomuua nabii wa Kirastafari kutoka Jamaica - Robert Nesta Marley...
View attachment 1640888
Mimi nipo mpendwa, wewe ndio hauonekani? Nani alikutekaAisee za kujificha
nilifikiri babu andjul anakokotoa mafao yake yaliopo serikalini kumbe anatufanyia mahesabu ya maili alizotembea fidel castro akiwa na wasichana.😂😂😂😂😂😂😂😂😂 anko katika ubora wake sio kwa hesabu hizo
Chei chei anko, u a missed.
Shikamooooo
Anko hesabu kali sana,yaan kachanganya uji,parachichi,pipiiii ,fenesi ndani ya story nzima ya fidelnilifikiri babu andjul anakokotoa mafao yake yaliopo serikalini kumbe anatufanyia mahesabu ya maili alizotembea fidel castro akiwa na wasichana.
kwa jinsi uzee ulivyomtawala huenda tarehe ya leo haifahamu ila hesabu za shahawa alizozizalisha bwana fidel anazijua.Anko hesabu kali sana,yaan kachanganya uji,parachichi,pipiiii ,fenesi ndani ya story nzima ya fidel
Huh! Noma sana
Hivi Tausi unaweza wafuga nyumbani kama kuku au bata?
Hakuna tofauti kubwa sana kimuonekano. Kajitahidi kumaintainThe Undertaker View attachment 1640413
I see!!Saporng kwenye ubora wake[emoji23][emoji23] View attachment 1640417
Si mchezoThat's my El Commandante..
Halafu alimpatia pisto kabisa akamwambia sumu itakawia kumuua chukua bunduki hii unipige. Demu aliposita sita ndio akafanywa chakula..
Napenda watu wa Latin America they're so Patriots. Ila bangi na madawa tu zinawaharibu..
Hugo Chavez hua ananiumaga kweli naona aliwahi kuondoka
View attachment 1640507
Young Hugo Chavez
View attachment 1640508