Taavid
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 8,375
- 71,281
[emoji16][emoji16][emoji16]
Hakika, maisha yetu ni mafupi sana. Muhimu tuwe watu wa kusaidia wenye uhitaji hata kwa msaada wa mawazo tu.Asante sana ndugu yangu. Maneno ya hekima mno. Ndiyo. Binadamu huwa tunajisahaulisha mpaka tunafikia hatua ya kutendeana ubaya na hata kuuana. Lakini ukiyaangalia maisha kwa upana wake, unaweza ukakosa hata maana yake halisi. Mungu Atupe neema zake na Atupe maarifa na uwezo wa kuwa karibu naye na kutenda yale yanayompendeza. Muda wetu ni mfupi sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Amina [emoji120][emoji120]Shemeji. Maneno mazito haya ila nayapokea kwa mikono miwili. Tumekuwa kama ndugu humu kabisa. ASANTE sana...
Jana nilikuwa kwa dentist. Nilikuwa na cavities mbili na ilibidi kuziziba. Basi wamenikorokochoa na hayo masindano yao basi hata raha ya kula hakuna japo kabinti kamejitahidi kupika.
Mungu Atulinde shemeji. Siku moja miye nitakuja kula ugali uliopikwa na Kabula wangu huko Masaki [emoji1545][emoji1545]
Duh![emoji848][emoji848][emoji848][emoji16][emoji16]View attachment 1648172
Kama ulaji wako wa "embe" ndio huo, umwahidi Nsamaka akija Dar utamuonjesha "tunda" ninyamaze?!!!
Hahahhahahahah sasa wivu wa nini tena jamaniKama ulaji wako wa "embe" ndio huo, umwahidi Nsamaka akija Dar utamuonjesha "tunda" ninyamaze?!!!
Shwaini zako mharibifu mkubwa wewe [emoji1][emoji1][emoji1]
Niache nipambanie nisicho kijua, mambo mengine yatajiseti mbele kwa mbele...Hahahhahahahah sasa wivu wa nini tena jamani
[emoji23][emoji23][emoji23]Niache nipambanie nisicho kijua, mambo mengine yatajiseti mbele kwa mbele...
Mtalaka hatongozwi kama haujui
Aseee[emoji16][emoji16]View attachment 1648172
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama ulaji wako wa "embe" ndio huo, umwahidi Nsamaka akija Dar utamuonjesha "tunda" ninyamaze?!!!
Shwaini zako mharibifu mkubwa wewe [emoji1][emoji1][emoji1]
Wanaume wa Dar huwa hamuishiwi vituko aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Nimeyala sana haya wakati wa kuchunga ng'ombe utotoni japo huto tumiiba ni changamoto. Nilishangaa nilipokuja kuyaona yanauzwa supermarket aisee. Kumbe ni zao moja zuri sana la biashara huko Mexico...
Hii picha nimejikuta namkumbuka Anko binti mpole...[emoji16][emoji16]View attachment 1648172
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji19][emoji28][emoji28][emoji19]View attachment 1648217