moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Na ukute kamepalilizwa nyasi hadi "ardhi" imebaki kipara... Inawaka moto [emoji91][emoji91] shwaini zake [emoji2][emoji2][emoji2] na kama ni msimu wa kupanda basi mkulungwa kachimba "shimo" hovyo hovyo halafu kalichomea manyasi... Yaani "shimo" la motooooo[emoji91][emoji91][emoji91]Huko kaliko si ajabu kanapaliliziwa nyasi. Au labda tu kanafanya zile tafiti zisizo na kichwa wala miguu. Shwaini za kenyewe [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Mungu akubariki sana🙏🙏Hakika, maisha yetu ni mafupi sana. Muhimu tuwe watu wa kusaidia wenye uhitaji hata kwa msaada wa mawazo tu.
Hapa kituoni kwangu,kuna mtoto mwenye changamoto ya mwili (mlemavu) huwa anapenda kuja sana vile kuna ofisi nyingi maeneo haya.
Kiukweli ni mtoto ambae huwa ananiumiza sana nikimuona, sina uwezo mkubwa kifedha ila huwa nampa sana refreshments kama soda, biscuits au maji. Nikimpa yule mtoto huwa anafurahi sana, na akifurahi basi na mm huwa napata amani sana moyoni.
Huwezi amani wkend huwa natumia muda mwingi sana kumuwaza yeye kuliko hata watoto wangu, lakini jioni hii nimepata habari njema kuwa yule mtoto anahudumiwa sana na Plan international pamoja ma Help Age International.
Mara nyingi kama mzazi naumia sana nafikiria mtoto yule anatembea peke yake na hali yake ile, je usalama wake uko wapi?
So mara nyingi namsaidia, hata nikimkuta barabarani siwezi kuendelea na safari hadi nimtoe japo naumia sana.
Mazingira yangu ya kazi ni magumu mno kwa mtu alie na huruma kama mimi. Huwa nikirudi kwangu, nikikumbuka nalia sana kwa uchungu.
Thanks Anne 🙏Happy birthday Kd Davet
Mungu akupe maisha marefu we chizi[emoji23]
Hbd boss wangu [emoji120]
Sijui nikuweke tu mnadani[emoji38][emoji38]
carbamazepine ndugu yako yupo mnadani kwa Leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ameen 🤲.....Mungu azidi kumjaalia afya njema na maisha marefu[emoji120][emoji120]
Umesema ni boss wako? Vipi, ile tabia ya umswati aionyeshayo humu na huko kitaani anayo? Kama ni hivyo,basi, Mwenyezi Mungu azidi kumtunuku miguvu mingi na weledi wa kushugulika na shughuli aipendayo hapa Duniani.
Kumbe upo?Thanks Anne [emoji120]
Mungu atupe maisha marefu sote
Thank you Mr/Ms
Mungu ni mwema Anko [emoji120]Ameen [emoji2969].....
Anko [emoji3][emoji3]
Nipo AnkoKumbe upo?
Hakika Mungu ashukuriwe, vipi za siku kadhaa?Mungu ni mwema Anko [emoji120]
Hongera zake bimkubwa... Amekuza kwa rehema zake Maanani
Pambana Anko,wakati ni huuNipo Anko
Na ukute kamepalilizwa nyasi hadi "ardhi" imebaki kipara... Inawaka moto [emoji91][emoji91] shwaini zake [emoji2][emoji2][emoji2] na kama ni msimu wa kupanda basi mkulungwa kachimba "shimo" hovyo hovyo halafu kalichomea manyasi... Yaani "shimo" la motooooo[emoji91][emoji91][emoji91]
Kama nakuona Anko wangu kipenzi unavyo niangalia [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
View attachment 1648272