Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huko kaliko si ajabu kanapaliliziwa nyasi. Au labda tu kanafanya zile tafiti zisizo na kichwa wala miguu. Shwaini za kenyewe [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Na ukute kamepalilizwa nyasi hadi "ardhi" imebaki kipara... Inawaka moto [emoji91][emoji91] shwaini zake [emoji2][emoji2][emoji2] na kama ni msimu wa kupanda basi mkulungwa kachimba "shimo" hovyo hovyo halafu kalichomea manyasi... Yaani "shimo" la motooooo[emoji91][emoji91][emoji91]

Kama nakuona Anko wangu kipenzi unavyo niangalia [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mungu akubariki sana🙏🙏
 
Ameen 🤲.....

Anko 😀😀
 

Tuombe aje vizuri vinginevyo za uso zinatuhusu aisee. Mi simoo [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…