ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
HewalaaaaaNakutaka radhi mchina[emoji23] [emoji23] [emoji23]
wanachojua ni man u tuuKabisa
Hahahahahaha...Kesha tapanya mali hovyo hovyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yataka moyo kuwa libaba kama hili fujaji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mahospitalini huko ukilazwa nako kuna super bug naye hasikii antibiotics. Halafu makampuni mengi hawajawekeza kwenye antibiotics kwa sababu eti siyo priority sana. Waliamini madawa yaliyokuwepo kuwa yasingeshindwa. Hela zote za research zinaishia kwenye kansa, kisukari na mambo ya kupunguza uzito. Ni hatari sana....[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifanya nicheke kwa nguvu kweli...on a serious note tunakaribia kwisha maana kama na dawa zishaanza kudunda sijui tunaponaje...
Kweli kabisaMungu mkubwa
Asante na wewe pia carbaNiwatakie usiku mwema
Usimlazimishe kusema uongo mbele za watuNjoo useme jana ulikuwa kwa nani
Namuamini sana,hana shidaOoohoooo
Muulizee
Tunakupenda pia..Nawapenda sana
Nipo mpenziUniq umelala!?
carba siku ile sikuipenda kabisa.Na alikoma kwakweli
Mkuu karibu naona Kichwa kichafu na Ho chi Minh wanitafuta sanaMahospitalini huko ukilazwa nako kuna super bug naye hasikii antibiotics. Halafu makampuni mengi hawajawekeza kwenye antibiotics kwa sababu eti siyo priority sana. Waliamini madawa yaliyokuwepo kuwa yasingeshindwa. Hela zote za research zinaishia kwenye kansa, kisukari na mambo ya kupunguza uzito. Ni hatari sana....
Nafurahi kwamba umecheka!
Najua. Mwanamke anayevaa miwani mwogope mkuu. Mimi nilikuwa nasema hapa mara nyingi jinsi alivyo mrembo, collected, calm and smart lakini mijibaba ikawa inazunguka zunguka tu scared. Na wewe ukawa unapambana kule kwingine. Mpaka nilimwambia personally faragha japo hakunijibu. Mke umepata bro. Kula raha sasa na mtunze kama mboni za macho yako!Yaan bro raha anazonipa Shemeji yako carbamazepine aisee ni kiboko
Labda kama wewe uko wawili mimi nilikuwa na babe s na si mwingine.Kwako tu[emoji12] [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama na jakitoo sawa
Mkuu mbona hiyo gari uliiuza?Macho yako babe s,
Rangi yako babe s,
Nakuandikia nikiwa nimekaa kwenye vw yangu ya mwaka 1974.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app