Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Atakua mchina ndo alitoa siri zako[emoji23] [emoji23]
Kwanini mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ilikuwa balaa sijui walipanga hawa wanawake hadi michepuko nayo imenikataa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kosa vyote lakini sio nguvu za kiume huko mbeleni 40s...Hizi mambo zinadidimiza sanaNguvu gani bana... hebu nambie mtu kama Cristiano, yale manguvu aliyonayo, wala hali hayo magimbi. Ukimchukua Francis cheka mnywa uji na myweather mnywa milkshake, nani atatwangwa mpk kifo..???
healthy meal
Ongezea na Andjul hapo. Kazi unayo shemeji. Zidisha mapenzi kwa sis halafu acha Upare andaa ng'ombe wa kuridhisha kabisa. Utabeba mzigo bila wasiwasi kabisa!Mkuu karibu naona Kichwa kichafu na Ho chi Minh wanitafuta sana
Kumbe alikuwa analeta moto wa mabuaVita nishaishinda mapema mbona,
Huu ni ukali wa chupa iliyokuwa imebeba gongo wala usihofu.
Baada ya hii sema unamtaka nani?
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Ndo maana una bunduki za kukodishaHahahh wewe ndie unahifadhi magaidi
AleynAangalie avatar itamtosha tu.
Identity
Unamtisha na bastoraHo chi minh..... Kajinyongeeeee sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimemuona hajui GeJo ni mtu wangu wakaribu
Mzee mwenzangu punguza hiyo sifuri ya mwisho.
Ukifika kitandani mkabidhi simu Cole, na wewe chukua ya kwake halafu mnazizima mnalala. Njia hii imetusaidia sana mimi.na Jakitoo otherwise kuna hatari ya kukesha katika uzi huu!Huu uzi unaweza kuaga unalala ukafika kitandani ukakumbuka likes unarud tena
HqhahahaNaona jibu la Babe S hilo hapo
Duh!Kesha tapanya mali hovyo hovyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yataka moyo kuwa libaba kama hili fujaji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]