myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sawasawa...kulikuwa na usaliti fulani...Chanzo cha yote ilikuwa ni madai ya msingi ya
Wazanzibar.
Walikuwa na vikao Afisi kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar.
Walishambuliana hatimaye walikubaliana waende Dodoma wakiwa na madai ya serikali 3 ndani ya Muungano.
Na hii haikuwa ajenda ya mzee Jumbe ni shinikizo la viongozi wa ngazi mbalimbali wa chama na Serikali upande wa Zanzibar.
Hivyo walijenga mikakati ya pamoja kutetea hoja hiyo kama viongozi wa upande mmoja mwanachama wa Muungano wa serikali mbili. (Tanganyika na Zanzibar)
Wakati huo Maalim alikuwa Waziri wa Elimu Zanzibar na mjumbe wa Kamati kuu ya CCM.
Hamad Rashid alikuwa Naibu Waziri wa Fedha kwenye Serikali ya Muungano na mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM. Shabani Khamisi Mloo alikuwa mjumbe wa kamati kuu, Soud Yusuf Mgeni alikuwa mjumbe wa Halmashauri kuu.
Wote walikuwa viongozi Powerful ndani ya CCM.
Walipofika Dodoma mzigo wote walimuachia Jumbe na Waziri kiongozi wake Ramadhani Haji Fakhi.
Wajumbe wa Zanzibar waliulizwa mmoja mmoja kama kuna anayeunga mkono hoja ya serikali tatu iliyofikishwa mezani na mzee Jumbe.
Wajumbe wote wa Zanzibar walimkana ila mmoja tu, Ramadhani Haji Fakhi.
Huyu Ramadhani Fakhi aliulizwa ndani ya kikao hicho 1+1= ni ngapi?
Waliokuwa kwenye kikao hicho wanasema jamaa alishikilia msimamo wake.
Hatimaye mzee Jumbe alifutwa uanachama wa CCM na hivyo kupoteza sifa za uongozi wa serikali.
Ramadhani Fakhi alijiuzulu, ingawa baadaye kulikuwa na madai kuwa alishinikizwa kujiuzulu.
Lakini cha kushangaza mwaka 1988, watu wale wale walikuja na hoja ile ile ndani ya vikao vile vile vya CCM.
Inawezekana walikuwa na nia njema, ikiwa ndiyo hivyo kwa nini hawakuunga mkono hoja ya mzee Jumbe miaka minne nyuma?
CCM iliwatimua uanachma.
Aisee
Haya bhana sawah. LolSi zote nilidhani wewe ni ME.
Haya bhana sawah. Lol
Ahsanteeeh.Karibu jukwaani
Uko sahihi. Hata mimi siendi mahali bila barakoa tena nina N95 kabisa. Hii kitu inatupukutisha sana sisi wahenga aisee. Kwenye msongamano navaa ya kawaida ndani halafu juu N95. Na Lysol yangu ya kupuliza na wipes. Na kuosha mikono na social distancing. Nikiipata niipate kwa bahati mbaya lakini siyo kizembe. Mungu Aendelee kutulinda huku nasi tukitumia vyema akili alizotupa kwa kujikinga na kuchukua tahadhari. Tutavuka tu [emoji2099][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Ulichoandika Mkuu ni ukweli MTUPU! Mimi nimeshawakoromea wengi tu kwa hii tabia ya kizembe lakini siwezi kuacha kuvaa kwa kusema wengi hawavai na hivi karibuni kwa kufuata maelekezo ya Dr Fauci nikienda very high risk areas ambazo mara nyingi kuna watu wengi sana kama vile supermarkets, malls etc napiga mbili. It is very uncomfortable kuvaa mbili kwa kipindi kirefu but hey life is very precious itβs my obligation to protect myself from this deadly virus mpaka hapo atakapothibitiwa na kuwa ni kagonjwa kadogo au kuondolewa kabisa duniani.
#VaaBarakoa Mkuu. View attachment 1714232
Nyoda, mchezo huu anaupenda mtoto wa kaka.Wahenga mpo? Nini hii?
Uko sahihi. Hata mimi siendi mahali bila barakoa tena nina N95 kabisa. Hii kitu inatupukutisha sana sisi wahenga aisee. Kwenye msongamano navaa ya kawaida ndani halafu juu N95. Na Lysol yangu ya kupuliza na wipes. Na kuosha mikono na social distancing. Nikiipata niipate kwa bahati mbaya lakini siyo kizembe. Mungu Aendelee kutulinda huku nasi tukitumia vyema akili alizotupa kwa kujikinga na kuchukua tahadhari. Tutavuka tu [emoji2099][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Amin[emoji120]Mungu atupe siku njema..
Mkuu vipi kile kinywaji cha asili unacho hapoAhsanteeeh.
Sawasawa mkuuUko sahihi. Hata mimi siendi mahali bila barakoa tena nina N95 kabisa. Hii kitu inatupukutisha sana sisi wahenga aisee. Kwenye msongamano navaa ya kawaida ndani halafu juu N95. Na Lysol yangu ya kupuliza na wipes. Na kuosha mikono na social distancing. Nikiipata niipate kwa bahati mbaya lakini siyo kizembe. Mungu Aendelee kutulinda huku nasi tukitumia vyema akili alizotupa kwa kujikinga na kuchukua tahadhari. Tutavuka tu [emoji2099][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Bado mdogo sana, ni kama wewe tu, atapata mtoto akikua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Numbisa ana watoto wangapi?
[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]