Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2021 #1,224,081 Mara nyingi sana kuna ukweli ndani ya neno “natania” na kuna siri nzito ndani ya neno “sijui” na kuna maumivu makali sana ndani ya neno “niko sawa”
Mara nyingi sana kuna ukweli ndani ya neno “natania” na kuna siri nzito ndani ya neno “sijui” na kuna maumivu makali sana ndani ya neno “niko sawa”
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2021 #1,224,082 Kama huna hela ukijikwaa unaweza kosa hata sehemu ya kudondokea
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2021 #1,224,083 Furaha ya kweli katika maisha ni pale tu unapokuwa na amani ya moyo bila kujali hali ya maisha uliyonayo.
Furaha ya kweli katika maisha ni pale tu unapokuwa na amani ya moyo bila kujali hali ya maisha uliyonayo.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2021 #1,224,084 Ukiwa bonge tabu tupu unapost picha watu wana zichukua wanapost kwenye matangazo yao ya kupunguzia uzito.😂😂😂😂😂😂
Ukiwa bonge tabu tupu unapost picha watu wana zichukua wanapost kwenye matangazo yao ya kupunguzia uzito.😂😂😂😂😂😂
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2021 #1,224,085 A Real Man will never Discuss his Girlfriend with other Men.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2021 #1,224,086 Wazazi wa Tz wanaweza wakakupa ushauri masaa 4 na bado akasema sina mengi ya kusema
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2021 #1,224,087 Kuna baraka katika kila changamoto unayoipitia, jifunze kushukuru zaidi kuliko kulaumu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2021 #1,224,088 Mm ni binadamu inawezekana mwaka jana nimekukwaza sana kwa namna moja au nyingine, naomba nikwambie kitu huo ni mwanzo tu mwaka huu utegemee kivumbi kabisa
Mm ni binadamu inawezekana mwaka jana nimekukwaza sana kwa namna moja au nyingine, naomba nikwambie kitu huo ni mwanzo tu mwaka huu utegemee kivumbi kabisa
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2021 #1,224,089 Mi niko bize napambana na umasikini nikiamini ndio adui yangu, kuna mtu nae yupo bize anapambana na mimi akiamini mimi ndio adui yake.
Mi niko bize napambana na umasikini nikiamini ndio adui yangu, kuna mtu nae yupo bize anapambana na mimi akiamini mimi ndio adui yake.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2021 #1,224,090 Unamuuliza mama intilie kwa sauti ya chini, yeye anakujibu kwa sauti nimekwambia wali wa mia tano hatupimi
Unamuuliza mama intilie kwa sauti ya chini, yeye anakujibu kwa sauti nimekwambia wali wa mia tano hatupimi
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2021 #1,224,091 Nisingekuwa naweka ruler machoni ili niwaone walio kaa mbele na mwalimu wapo dabo dabo ningekuwa mbali sana
Nisingekuwa naweka ruler machoni ili niwaone walio kaa mbele na mwalimu wapo dabo dabo ningekuwa mbali sana
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2021 #1,224,092 Uhai ulionao leo hii ni zawadi ambayo Mungu ametupa bure wala hutujagharamia hivyo tunapaswa kumshukuru Mungu, na Mungu atatutangulie wiki hili.
Uhai ulionao leo hii ni zawadi ambayo Mungu ametupa bure wala hutujagharamia hivyo tunapaswa kumshukuru Mungu, na Mungu atatutangulie wiki hili.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2021 #1,224,093 Did you know that ; before ulale lazima ujifanye umelala ndio kulala ubongo udhani umelala alafu ndio ulalee
Did you know that ; before ulale lazima ujifanye umelala ndio kulala ubongo udhani umelala alafu ndio ulalee
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2021 #1,224,094 wakati wowote unapo hisi umepoteza kila kitu jikumbushe kwamba huja mpoteza Mungu
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,144 Mar 1, 2021 #1,224,095 Numbisa said: Kama huna hela ukijikwaa unaweza kosa hata sehemu ya kudondokea Click to expand... Duh...
Numbisa said: Kama huna hela ukijikwaa unaweza kosa hata sehemu ya kudondokea Click to expand... Duh...
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2021 #1,224,096 Kama ulikosa 2020 usikate tamaa Mungu hachelewi wala hawai, 2021 ni mwaka mwingine tena una nafasi ya kufanya mwaka huu ukawa wako ukimtanguliza Mungu
Kama ulikosa 2020 usikate tamaa Mungu hachelewi wala hawai, 2021 ni mwaka mwingine tena una nafasi ya kufanya mwaka huu ukawa wako ukimtanguliza Mungu
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2021 #1,224,097 Najua uko bize naomba chukua hata dakika 1 kumshukuru Mungu kwa pumzi uliyo nayo mpaka sasa
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2021 #1,224,098 Tafuta hela mpaka kwenye sherehe ya kifamilia uache kuambiwa kafwate wageni barabarani
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2021 #1,224,099 Kama umefanikiwa kuiona siku yaleo basi jua bado unanafasi kubwa sana katika maisha yako
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Mar 1, 2021 #1,224,100 Most people don't love you, they just love what you can do for them.