myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Juma MgundaView attachment 1717476
Jirani hujambo...Wacha bhana weee,[emoji23][emoji23]
Nimeona likes zako nikashtuka. Long time no see. Are you OK? Huko uliko changamoto za upumuaji zikoje? Mungu Akulinde sana shemeji [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Shemeji,haaaiii[emoji870][emoji870]
Hilo box haliwez pitia kwangu ndo liende kwa dav??[emoji125][emoji125]
Terrible news. Pole sana bro kwa kuondokewa na baba. Mitihani ya dunia. Mungu Ampe pumziko jema paradiso mpaka mtakapoonana tena [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nipo ndugu zangu, mwezi uliopita tarehe 10,niliondoke na mzee wangu kwa tatzo la kansa ya utumbo, iliyomsumbua kwa muda mrefu..
Miss you more kipenzi😘, Usiadimike sana Jaman nakonda mimiBabe i miss u[emoji8][emoji8]
Karibu sana Numbiee.Nipoo
Pole pole nyingi sana ninge. Mwenyezi Mungu amuweke mahali pema peponi. Amen
Pole sana kwa kuondokewa na Mpendwa wako!
Mungu akupitishe salama ktk kipindi kigumu hiki.
Pole sana Anko, pole kwa magumu yote. Mungu akupe moyo thabiti.
Apumzike mahali pema Peponi. Amin [emoji120]
Pole sana bro, Mwenyezi Mungu amjaalie makazi mema peponi mzee wetu, nanyi wafiwa Mwenyezi Mungu awajaalie Subira[emoji120][emoji120][emoji120]
Pole sana Mkuu, Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Baba yetu mahali pema peponi [emoji1488][emoji1488][emoji1488]
Pole Sana Ninge, Mungu amlaze Baba mahali pema peponi..Amen[emoji120]
Pole sana nige,Allah ampe kauli thabit na amrehem.[emoji120][emoji120]
Asanteni sana ndugu zangu kwa kunipa faraja hasa hasa kipindi hiki, sina cha kuwalipa Mungu awabariki sana,Terrible news. Pole sana bro kwa kuondokewa na baba. Mitihani ya dunia. Mungu Ampe pumziko jema paradiso mpaka mtakapoonana tena [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Nipo Shunie, za kwako?Baba wawili upooo
Pole sana NingeNipo ndugu zangu, mwezi uliopita tarehe 10,niliondoke na mzee wangu kwa tatzo la kansa ya utumbo, iliyomsumbua kwa muda mrefu..