moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji120][emoji120]Usiku uwe mwema kwetu wote
Usiku wa kucheza na wife
Amen[emoji120][emoji25]Asante sana Annie, yote ni kumshukuru Mungu.
ukisikia kuondoa mbuzi na kuleta mbuzi ndio hiyo watakayoifanya tottenhamTottenham think Wolves boss Nuno Espirito Santo could be a potential successor to manager Jose Mourinho. (Express)
Kimeumana.Harmonize kuwaburuza wote waliosambaza picha zake Mahakamani
Nimeona Demand notes kutoka kwa My learned Brother J. Msemwa akisema kwamba atawafikisha Mahakamani wale wotee waliosambaza picha ya mteja wake anayejulikana kwa Jina Harmonize, Tembo au Jeshi, Kwani hayo Majina ya Harmonize, Tembo, Jeshi, yamekuwa registered kama trademark names?www.jamiiforums.com
Vyovyote vile, ili mradi uwe na wifeKuruka kamba intapende za au draft[emoji1]
Kimeumana.
Acha kiumane.
Madhara ya kuwa na mahusiano na Papa, Kahaba aka Pashkuna.
Unamruhusu changudoa akufotoe !![emoji849][emoji849]
Ushamba mzigo
Nilimuona huyo Mange anamfundisha Konde mambo furani ya kufanya ili ikibidi amtose Kajala kimoja na arudi kwa Sara.Ama kweli ushamba mzigo hata Da Mange kwenye page yake alisifia sana kwamba kavutiwa sana na yuko tayari kushusha pichu naye afaidi lakini bahati mbaya ni mdogo wake.
Nilimuona huyo Mange anamfundisha Konde mambo furani ya kufanya ili ikibidi amtose Kajala kimoja na arudi kwa Sara.
Ila huyu chinga muda mwingi nimemuona anaelekea kuharibikiwa maana anapenda kiki za kishamba.
Ukiwa super star kiki nyingine achana nazo.
Duu, kaanza na sembe, hiyo sasa ni hatari.Uko sawa Mkuu hicho nami ndicho nilichokisoma. Kuna tetesi jamaa amekuwa ni bingwa wa kutumia sembe sasa sembe ukichanganya na ushamba vinamharibu kichwa na muziki wake wapenzi wanadai unatetereka.
Mnaruhusiwa kucheza na waifu wakati wa mfungo? Kamwezi kamoja tu hamuwezi kuvumilia? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Usiku wa kucheza na wife
Kinuke kidogo ili tuheshimiane. Maneno mengi mno na tunakoelekea nchi haitatawalika hii hasa kama mama atakuwa anafuata maneno na fyoko fyoko hizi za mitandaoni zisizoisha kutoka kwa wanaharakati wetu uchwara hawa. Kinuke kidogo tujue mbivu na mbichi...halafu kila mtu atakuwa na adabu na tutaheshimiana vizuri tu [emoji51][emoji51][emoji51]Mungu aliepushe hilo jambo, maana kikinuka kitanuka mpaka peee.
Wakulima woote poleni..