ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
mara mwisho kufuatilia (2013) DPP wa kipindi kile aliipiga chini hii kesi, upande wa serikali hawakuwa na ushahidi wa kutosha.Hivi kesi yake imeishia wapi huyu jamaa
hata kuogelea sijui sembuse kuvua samakiUliwahi kukutana naye kwenye harakati zako za uvuvi bro!?
😍😍😍🥰🥰🥰🥰😘😘Nimeisha inakiri Anko, nikirudi tu kitu hicho namuachia. Tena namwambia kabisa wajina wa binti yetu kakupa zawadi.
Ahsante kwa kunijali Anko [emoji120]
Ile nataja mtaa kumbe na wewe ni maeneo hayo hayo na wanijua [emoji3][emoji3][emoji3]taja huo mtaaa wewe mzee,
naufahamu mtaa mmoja wa wabutiama, wenyewe kila mwezi wanafanya mkutano wa jumuia ya watu wa butiama.
wacha masihara wewe mzee.Ile nataja mtaa kumbe na wewe ni maeneo hayo hayo na wanijua [emoji3][emoji3][emoji3]
Kunywa urojo je unaweza?hata kuogelea sijui sembuse kuvua samaki
Mjukuu usinitege, umri umesha nitega yatosha ati...wacha masihara wewe mzee.
kidongo chekundu?
babu andjul ukizuru zanzibar unafikia wapi?Mjukuu usinitege, umri umesha nitega yatosha ati...
mara ya mwisho nimekunywa urojo jumanne ya wiki hii.Kunywa urojo je unaweza?
Sheria hizi 40 kandamizi ndani ya Katiba ya jamuhuri ya Tanzania bado zipo.kutoka maktaba: nimemuona ismail jussa
View attachment 1753682
Demokrasia ya Vyama Vingi haikuja kirahisi rahisi. Ilipinganiwa na watu walipitia machungu na mateso ili Watanzania wapate haki za kisiasa. Ili kudhibiti Upinzani, CCM ilitumia Dola kupandikiza mawakala (moles) wake katika vyama vipya. Mawakala (moles) wangalipo. #Tujihadhari.
Pichani ni Maandamano mjini #Zanzibar mwaka 1994 kudai Uchaguzi Haraka Zanzibar, Tume Huru, na Kufutwa kwa Sheria 40 za Ukandamizaji
Acha masiahara, mi mtu huku bara naogelea maji ya aina zote, ziwa, mto, bahari sembuse wewe uliyekulia kisiwani!!!hata kuogelea sijui sembuse kuvua samaki
Kuna siku nilikuambia kama sikosei, M/kwerekwe pale karibu na Kivulini kwa wauza mitumba au karibu na Fuoni pr sc.babu andjul ukizuru zanzibar unafikia wapi?
Bado ni kijana mdogo ni basi tu Mungu kamjaalia upeo mkubwa.Acha masiahara, mi mtu huku bara naogelea maji ya aina zote, ziwa, mto, bahari sembuse wewe uliyekulia kisiwani!!!
Usitake niamini kuwa wewe ni mtoto wa mama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]