moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Haya vijana kazi kwenu
Atakuwa Simba wa Kibisa
Sasa umri huo hajajua kuogelea?Sidhani kama amezidi 27
Niamekuandalia Daku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo vipi ustadh,..umekula futari pekeyako?
Umagufuli bila Magufuli[emoji38][emoji38]Nani kama mama? [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1753943
Yuko wapi hivi sasa?Alituhumiwa kama mdunguaji aliemuua Padre Mushi maeneo ya Beitras Zanzibar.
Alikamatwa baada ya scratch ya mtu aliemdungua Padre kufanana na sura ya kwake.
Alienda kuchkuliwa maskani maeneo ya Michenzani.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nikiona posts zako ulo attach picha nascrow down mbio mbio naogopa nisije kukutana na tako.
Mara dogo yupo pembeni ananiuliza 'mama huyo nani?' [emoji1787]
woyoooooo kivulini, lile eneo kwa sasa limetolewa milango ya duka.Kuna siku nilikuambia kama sikosei, M/kwerekwe pale karibu na Kivulini kwa wauza mitumba au karibu na Fuoni pr sc.
sijawahi kuogeleaAcha masiahara, mi mtu huku bara naogelea maji ya aina zote, ziwa, mto, bahari sembuse wewe uliyekulia kisiwani!!!
Usitake niamini kuwa wewe ni mtoto wa mama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]