moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hongera sana mgonga likes kwa kutwaa ubaloziNimeula jamani nipeni pongezi [emoji1787][emoji1787]
Kgothalo au Hoyce TemuAnaitwa nani huyu mrembo?
Amechaguliwa kuwa balozikapewa pole kiana kwa kufiwa na mama yake. rachel temu atajidai sana. Mange 0 vs the temu's 4 dakika ya 89 bila nyongeza
Hongera sana mrembo.balozi kama balozi yaniii.
asiyemjua dada K kubwa ndiye huyo
leo niruhusu nikutanie kwa mara ya kwanza
View attachment 1794064
Sidhani kama huyu ndiye sis.Kgothalo kuja hapaaaaaa
babu yangu ni mganga na anatumia majini 5
nimeliona jina lakoooooo
hoyce anderson Temuuuuuuu
Ukiona hivyo hao ni watu wa TISS. Huwa hawaachwi hivi hivi mtaani....hii nchi bwana
- mahamudu thabiti kombo kaondolewa serikalini na hussein mwinyi, huku kapewa ubalozi
- perera ame silima, akitoka cheo hiki anapelekwa huku
Mange miaka yote huwa anamtukana hoyce so mdogo wake hoyce anayeitwa rachel huwa habaki nyuma kumtukana mange. ndo maana nimesema mange 0 hoyce na ndugu yake 4Amechaguliwa kuwa balozi
hawezi kuwa AhjummaNafikiri sis ni hiyo namba 15. I may be wrong though
hutonitoza pesa?Umekosea sana.
Mi namjua, njoo PM nikutajie
Hivi kumbe mtu ye yote tu anaweza kuteuliwa kuwa balozi?balozi kama balozi yaniii.
asiyemjua dada K kubwa ndiye huyo
leo niruhusu nikutanie kwa mara ya kwanza
View attachment 1794064
Wapi jiraniBora kumpa jirani kuliko kioze
OKUkiona hivyo hao ni watu wa TISS. Huwa hawaachwi hivi hivi mtaani....
Pongezi zimuende kgothaloKgothalo au Hoyce Temu
[emoji23][emoji23][emoji23]coco kaula kiaina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nje ya urembo hakuwa na shughuli nyengine?Hivi kumbe mtu ye yote tu anaweza kuteuliwa kuwa balozi?
Jirani jirani,Tumuombee mema. uzi umepoa sana hatupewi pole
Tumeshamalizana nao. Tafiti za Esta hovyo tu !!!Mmmh, [emoji849][emoji849].
Wazee wenzangu SHIMBA YA BUYENZE na shemeji yako mzee Andjul mnalo la kusema kuhusu utafiti huu?
[emoji23][emoji23][emoji23]Poleni wasafiri