Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

wote wahuni(tamaa waliziweka mbele)
naye alishindiwa nini kuipigania hiyo serikali 3 nyakati alipoukwaa uraisi wa zenji na baadae Muungano
Siyo wazanzibari wote wanataka serikali tatu.
Kuna wazanzibari kadhaa wanataka serikali mbili na hata serikali moja.
Maalim Seif na baadhi ya wazanzibari wanajaribu kuelimishana umuhimu wa serikali tatu.
Kwahiyo naomba nimtetee mzee Mwinyi kuhusu hilo.
Tunamtaja Seif kwakuwa yeye amejipambanua kupigania serikali tatu
 
Your children are the greatest gift God will give to you, and their souls the heaviest responsibility He will place in your hands. Take time with them, teach them to have faith in God. Be a person in whom they can have faith. When you are old, nothing else you've done will have mattered as much.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…