Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inashangaza sana mkuu. Nilidhani utekaji ulishakoma, kumbe sivyo
watekaji hawakuanza awamu ya JPM walianza kitambo sana sema watu hawakua na kuwashwa washwa sana kumbuka mgomo wa madaktari kinara wao alitekwa alipiga vibaya mno. kuna wafanyabiashara wa madini walisingiziwa majambazi wakauliwa huko msituni
 
 
Hali yangu si nzuri sana,pia hali ya mzee wangu ni mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna taarifa nmeona kule selfie.. Baba mzazi wa Saint Anne amefariki dunia...

Innallilah wainalillah rajun na Mungu ampatie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu anachopitia yeye pamoja na familia yake, kuondokewa na mpendwa wako inauma sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…