Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna taarifa nmeona kule selfie.. Baba mzazi wa Saint Anne amefariki dunia...

Innallilah wainalillah rajun na Mungu ampatie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu anachopitia yeye pamoja na familia yake, kuondokewa na mpendwa wako inauma sana!!
Sad news. Pole nyingi sana kwa Anne kwa kipindi hiki kigumu. May His Soul Rest In Peace. Amen
 
Kuna taarifa nmeona kule selfie.. Baba mzazi wa Saint Anne amefariki dunia...

Innallilah wainalillah rajun na Mungu ampatie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu anachopitia yeye pamoja na familia yake, kuondokewa na mpendwa wako inauma sana!!
Dah.! Pole nyingi sana Anne na familia kiujumla...Mungu awe mfariji kwenu katika kipindi hiki kigumu

R.I.P Baba
 
Kuna taarifa nmeona kule selfie.. Baba mzazi wa Saint Anne amefariki dunia...

Innallilah wainalillah rajun na Mungu ampatie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu anachopitia yeye pamoja na familia yake, kuondokewa na mpendwa wako inauma sana!!
 
Msiba jamani unauma sana tu. Maombi mengi kwa Anne apone apate kumuomboleza Baba akiwa na afya njema. Unaumwa huku umefiwa dunia inakua chungu mara maelfu elfu
 
Barcelona wana imani watakamilisha mchakato wa kumsajili mshambulizi wa Manchester City na Argentina Sergio Aguero, 32, pamoja na kiungo wa kati wa Liverpool na Uholanzi Georginio Wijnaldum, 30, kwa uhamisho wa bila malipo hivi karibuni. Mikataba ya wachezaji hao wawili inakamilika wa joto. (Sky Sports)
 
Liverpool inaweza kukusanya £80m kwa kuwauza wachezaji wanane msimu huu dirisha la uhamisho litakapofunguliwa. Wachezaji hao ni pamoja na Wing wa Uswizi Xherdan Shaqiri, 29, mshambuliaji wa Ubelgiji Divock Origi, 26, na mshambuliaji waJapanTakumi Minamino, 26. (Liverpool Echo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…