andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Hongera sana mjukuu, Mungu azidi kukujaalia afya njema na maisha marefu. Hekima na busara ikawe nira yako ya kukuongoza [emoji120]leo nimegonga miaka 40, namfukuzia balozi myoyambendi aliyezaliwa miaka 30 iliopita
halafu hii kalenda ya mwaka huu inafanana na ile ya mwaka ulee niliozaliwa.
mpaka siku yangu ya kuzaliwa (jumapili) imefanana
mpemba urojo utaoa lini, bado nipo nipo sana[emoji444][emoji444][emoji446]
humu ndani tuheshimiane, wengine ni baba zenu
Kwamba ndo kakengeuka hivi siku hizi?πtena anakuja kwa adabu zote akishapata humuoniππππ
Habari ya siku nyingi?Anko kipenzi [emoji137]
Haya maisha Anko kuna watu wanafaidi mwee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniiii
ππππππHaya maisha Anko kuna watu wanafaidi mwee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mungu ni mwema Anko, vipi huko familia?Habari ya siku nyingi?
ππππππKwahiyo coco saivi mambo yake ni mazuri?
Naomba kutoa pongezi kwa familia ya balozi Kgothalo na mwenzie capitalpool ππ
Nigendako nakusalimu kwa jina la wapenzi wa seriesπππππ
ninge yupo kajaa tela kama pishi la kizenji kwenye uzi wa series. Ninge mtaalam kule
ππππππππankooooUnajibizana na utafiti wa Esta?!!
Utafiti pekee ninao uamini toka kwake ni wa nguvu za kiume na ulevi wa matako makubwa basi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ankoooo
Bro mambo niaje mzee wa HijabPole sana ndugu yetu, hakika Mungu atawafanyia wepesi mpate kupona na muwe na afya njema, InshaAllah
Mungu ni mwema Anko, n
Nimewakuta salama kabisaπMungu ni mwema Anko, vipi huko familia?
Nani huyo tupate ubuyuπππSio naniiπππ
Happy bday dada ake na coco
I miss you....Bro mambo niaje mzee wa Hijab
Upo mjini?Nimewakuta salama kabisa[emoji120]
jamani uwe unakubaliana nazo tuππππ[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna tafiti zako zingine huwa nazisoma ni kwa sababu natakiwa kuzisoma, nakuwa na kazi ya kupingana nazo kimoyomoyo
πππππππHongera sana mjukuu, Mungu azidi kukujaalia afya njema na maisha marefu. Hekima na busara ikawe nira yako ya kukuongoza [emoji120]
Mzee Shimba atachelewa kukuona ila ameniagiza nikufikishie keki ya kisukuma kwa niaba.
Ipokee kwa tashwishi View attachment 1810213
Happy birthday bishoo shabiki kindaki ndaki wa Oleleo nimegonga miaka 40, namfukuzia balozi myoyambendi aliyezaliwa miaka 30 iliopita
halafu hii kalenda ya mwaka huu inafanana na ile ya mwaka ulee niliozaliwa.
mpaka siku yangu ya kuzaliwa (jumapili) imefanana
mpemba urojo utaoa lini, bado nipo nipo sanaπ΅π΅πΉ
humu ndani tuheshimiane, wengine ni baba zenu
[emoji125][emoji125][emoji441][emoji351][emoji350]aiwana lavyoo, everidei endi everi naiti, wilu bi tugeza...[emoji443][emoji445][emoji444][emoji443]I miss you....