Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hadi muda huu sijapata mbinu alizotumia kuikamata nchi kiganjani. Yaan kuna kipindi akiamka akakataza kitu ndo sheria hio inatakelezwa mara moja.sema jamaa aliwachezesha sebene la kufa mtu, hakuna aliyethubutu kudai katiba wala mshahara.
Hadi muda huu sijapata mbinu alizotumia kuikamata nchi kiganjani. Yaan kuna kipindi akiamka akakataza kitu ndo sheria hio inatakelezwa mara moja.
karata za magufuli ndio hizo
- jiaminishe
- simamia unachokiamini
- jenga himaya itakayokuamini
- shambulia
aliwatisha kidogo wakawa wanakimbia,Karata nzuri sana hizo. Alituweza sana tu
Safii
Magugu maji
Numbisa, Daemusin watapata uteuzi kwenye mkeka wa ma-DC wapya[emoji23][emoji23]tunasubiria....
Bongo movie kwenye ubora wao[emoji15]