Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

othaman ananiburudisha, huku akinimalizia bando langu.
billioni 1 yangu naitaka

Zanzibar ilianza kuwa taifa linalotambuliwa na mataifa makubwa ya kigeni kabla ya mwaka 1900. Ushahidi ni kuwepo kwa balozi za mataifa hayo kwenye ardhi ya Zanzibar, zikiwemo Marekani, Uingereza, Ufaransa na Ujerumani.
 
Duh! ATCL imegubikwa na madeni makubwa ndani na nje ya nchi.
 
Kitendo cha Nahodha wa Ureno Cristiano Ronaldo juzi wakati wa Mkutano na Waandishi wa Habari kuelekea mchezo wao wa Euro 2020 vs Hungary kuondoa chupa mbili za Cocacola kwenye meza ambao ni Wadhamini wa michuano hiyo na kusisitiza Watu kunywa maji zimefanya thamani ya hisa za Cocacola kushuka kwa 1.6%.

Thamani ya hisa ya Cocacola imeshuka sokoni kwa kitendo hicho kutoka USD 56.10 (Tsh 130,087) kwa hisa moja hadi USD 55.22 (Tsh 128,043) sawa na anguko la 1.6% thamani ya Cocacola katika soko ilikuwa USD Bilioni 242 (Tsh Trilioni 561.2) na sasa ni USD Bilioni 238 (Tsh Trilioni 551. hivyo Cocacola wamepata hasara ya USD Bilioni 4 (Tsh Trilioni 9.2)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…