Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi mzee wa kibiti kwa jina nafahamika kama Kichwa Kichafu.
Pamoja na mzee mwenzangu wa ikwiriri anafahamika kwa ho chi minh.

Tunaomba radhi kwa tulie mkwaza kwa wakati huu.
Naomba mtuelewe tu na mtuzoee tu kiroho safi.




WAKATI HUO HUO NAPENDA KUTOA RAHI KWA MAZIZI MENGINE.


√Ambao bado wanaturushia mawe na kupinga upande wa ho chi minh kufanikisha lengo lake kwa mtoto tulie anza kupambana wiki sasa
Muendelee kujisajiri upande huu unaotoa tangazo maana bomoa bomoa limeanza na halitakuwa na huruma.






Mpaka sasa majina ni mengi ambao tayari wamejisajiri huu upande wa mtoa tangazo.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kijana vipi tena huku?

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Nilishtuka ikabidi nirudi nyuma. Hope yataisha natamani kuwe na amani humu ndani.
Upebdo nikitu kikubwa sana. Kwa alie kwazika polee zake. Hope vitu vitakaa sawa.
Amani ya Kristo iwe nanyi

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…