myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
KweliMwambie Mungu shida zako, yeye hato screenshot.Lia na malaika wako, wao hawataenda kukutangaza kwenye ma group usiyokuepo.Mnyenyekee aliyekuumba, yeye hatokuona chawa wa mtandaoni.Usiwafurahishe wanaopenda maumivu yako
NakubaliMda mwingine kuna Hatua hatuwezi kuzifikia bila ya sisi binafsi kuamua Kubadilika au kubadilisha baadhi ya vitu kwenye Maisha yetu
SawasawaMda mwingine kuna Hatua hatuwezi kuzifikia bila ya sisi binafsi kuamua Kubadilika au kubadilisha baadhi ya vitu kwenye Maisha yetu
📌📌Mwambie Mungu shida zako, yeye hato screenshot.Lia na malaika wako, wao hawataenda kukutangaza kwenye ma group usiyokuepo.Mnyenyekee aliyekuumba, yeye hatokuona chawa wa mtandaoni.Usiwafurahishe wanaopenda maumivu yako
✔️👍✔️Mda mwingine kuna Hatua hatuwezi kuzifikia bila ya sisi binafsi kuamua Kubadilika au kubadilisha baadhi ya vitu kwenye Maisha yetu
👍👍✔️Mda mwingine kuna Hatua hatuwezi kuzifikia bila ya sisi binafsi kuamua Kubadilika au kubadilisha baadhi ya vitu kwenye Maisha yetu
SawaMwambie Mungu shida zako, yeye hato screenshot.Lia na malaika wako, wao hawataenda kukutangaza kwenye ma group usiyokuepo.Mnyenyekee aliyekuumba, yeye hatokuona chawa wa mtandaoni.Usiwafurahishe wanaopenda maumivu yako
SahihiMda mwingine kuna Hatua hatuwezi kuzifikia bila ya sisi binafsi kuamua Kubadilika au kubadilisha baadhi ya vitu kwenye Maisha yetu
Watake ,wasitake...Wakati wako wakushukiwa Neema ukifika, Hata kama adui zako wakikuombea mabaya namna gani baraka na Neema zako zitashuka tu watake wasitake
SawaMafanikio si kuhusu kuwa bora kuliko mtu mwengine mafanikio ni kuhusu kuwa bora kuliko ulivyokuwa hapo awali
KweliUtaishi Kwa Amani Sana, Pale Ambapo Utakubali Kuwa Katika Maisha Kuna Watu Ni Lazima Wakuzidi
SawaUsiache kumuomba MUNGU hata kama amekupa Ulichomuomba,Maana kilichopatikana kwa Maombi Hulindwa kwa Maombi
SawasawaUsiache kumuomba MUNGU hata kama amekupa Ulichomuomba,Maana kilichopatikana kwa Maombi Hulindwa kwa Maombi
SawasawaWakati wako wakushukiwa Neema ukifika, Hata kama adui zako wakikuombea mabaya namna gani baraka na Neema zako zitashuka tu watake wasitake
📌📌Usipoteze Muda wako kwa hasira,Majuto,wasiwasi na kinyongo.Maisha ni mafupi sana kutokuwa na Furaha
SahihiUkweli mchungu kuhusu maisha ikiwa wewe ni mtu mwema sana, watu watakutumia badala ya kukupenda
Nakubali hiliWatu wanakuwekea kiwango cha kupiga hatua kimafanikio, Ukipiga hatua zaidi wanakuchukia wazi wazi
Nakubali hili piaWatu wanakuwekea kiwango cha kupiga hatua kimafanikio, Ukipiga hatua zaidi wanakuchukia wazi wazi
Kupambana...Kubali kwamba umepoteza lakini usikubali kwamba hutoweza tena mtangulize MUNGU kisha pambana.
✔️✔️✔️Mwanangu Dunia haijawahi kuwa tamu kwa Mnyonge,Magumu ya maisha hayapaswi kukufanya ukate tamaa,Ukubwa ni pamoja na kutambua kuwa hakuna yeyote atakaekuja kukutia moyo kwenye Mazito ya Maisha yako.