myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️Mwanadamu anahitaji kiasi fulani cha hatia, huzuni, aibu, wasiwasi na hofu katika kulinda utu wake. Hisia hizi hatuzipendi lakini zinatusaidia kujirekebisha na kukabiliana na misukosuko ya maisha."
UjumbeUnapokuwa na matarajio makubwa kuliko hali halisi, ujue tu unajijengea mazingira ya mawazo yatakayokuumiza . Tarajia kidogo, na wakati mwingine wala usitarajie chochote".
MuhimuMwanadamu anahitaji kiasi fulani cha hatia, huzuni, aibu, wasiwasi na hofu katika kulinda utu wake. Hisia hizi hatuzipendi lakini zinatusaidia kujirekebisha na kukabiliana na misukosuko ya maisha."
SawasawaDuniani wamejaa watu wema. Ikiwa huwezi kumpata yeyote, basi wewe kuwa miongoni mwa watu wema.
Ukweli huo"Usishughulishwe na neema, ukamsahau aliyekuneemesha
Sahihi"Usishughulishwe na neema, ukamsahau aliyekuneemesha