myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
📌📌📌Tai anapozeeka, manyoya yake huwa dhaifu na hushindwa kumpeleka kwa kasi na kumpandisha juu kama atakavyo. Hii humfanya kuwa dhaifu na huweza kumsababishia kifo. Hivyo huenda kupumzika mbali milimani. Akiwa huko, hunyofoa manyoa yote dhaifu mwilini mwake na huvunja mdomo wake kwenye mawe na makucha yake kwenye miamba hadi pale anapobakia mtupu kabisa; ni mchakato wenye kumwaga damu nyingi na maumivu makali. Kisha hubakia huko mafichoni hadi pale anapoota manyoya mapya, mdomo mpya na kucha mpya, kisha hutokea akiruka juu kuliko awali.
MAANA: Tunawiwa mara kadhaa kuachana na tabia za kale bila kujali ugumu uliopo katika kuziacha, mambo yanayotuwia mzigo au vitu ambavyo haviongezi thamani katika maisha yetu vinatakiwa kuondoka.
👍👍👍Tai anapozeeka, manyoya yake huwa dhaifu na hushindwa kumpeleka kwa kasi na kumpandisha juu kama atakavyo. Hii humfanya kuwa dhaifu na huweza kumsababishia kifo. Hivyo huenda kupumzika mbali milimani. Akiwa huko, hunyofoa manyoa yote dhaifu mwilini mwake na huvunja mdomo wake kwenye mawe na makucha yake kwenye miamba hadi pale anapobakia mtupu kabisa; ni mchakato wenye kumwaga damu nyingi na maumivu makali. Kisha hubakia huko mafichoni hadi pale anapoota manyoya mapya, mdomo mpya na kucha mpya, kisha hutokea akiruka juu kuliko awali.
MAANA: Tunawiwa mara kadhaa kuachana na tabia za kale bila kujali ugumu uliopo katika kuziacha, mambo yanayotuwia mzigo au vitu ambavyo haviongezi thamani katika maisha yetu vinatakiwa kuondoka.
📌👍Tai anapozeeka, manyoya yake huwa dhaifu na hushindwa kumpeleka kwa kasi na kumpandisha juu kama atakavyo. Hii humfanya kuwa dhaifu na huweza kumsababishia kifo. Hivyo huenda kupumzika mbali milimani. Akiwa huko, hunyofoa manyoa yote dhaifu mwilini mwake na huvunja mdomo wake kwenye mawe na makucha yake kwenye miamba hadi pale anapobakia mtupu kabisa; ni mchakato wenye kumwaga damu nyingi na maumivu makali. Kisha hubakia huko mafichoni hadi pale anapoota manyoya mapya, mdomo mpya na kucha mpya, kisha hutokea akiruka juu kuliko awali.
MAANA: Tunawiwa mara kadhaa kuachana na tabia za kale bila kujali ugumu uliopo katika kuziacha, mambo yanayotuwia mzigo au vitu ambavyo haviongezi thamani katika maisha yetu vinatakiwa kuondoka.
UjumbeTai hupenda dhoruba. Mawingu yanapojikusanya, tai hufurahia, tai huutumia upepo wa dhoruba kupanda juu zaidi. Mara tai anapokutana na upepo wa dhoruba, huitumia dhoruba kupanda juu ya mawingu. Hii humpa tai fursa ya kuelea na kupumzisha mabawa yake. Wakati huo ndege wengine hujificha kwenye matawi na majani ya miti.
MAANA: Kabiliana na changamoto zako uso kwa uso huku ukitambua kuwa zitakuacha ukiwa imara na bora kuliko ulivyokuwa. Tunaweza kutumia dhoruba za maisha kupanda ngazi za juu zaidi. Wapambanaji huwa hawaogopi kufika hatua za juu zaidi. Wapambanaji huwa hawaogopi changamoto, zaidi huzikabili na kuzitumia kwa faida.
✔️👍✔️Tai hupenda dhoruba. Mawingu yanapojikusanya, tai hufurahia, tai huutumia upepo wa dhoruba kupanda juu zaidi. Mara tai anapokutana na upepo wa dhoruba, huitumia dhoruba kupanda juu ya mawingu. Hii humpa tai fursa ya kuelea na kupumzisha mabawa yake. Wakati huo ndege wengine hujificha kwenye matawi na majani ya miti.
MAANA: Kabiliana na changamoto zako uso kwa uso huku ukitambua kuwa zitakuacha ukiwa imara na bora kuliko ulivyokuwa. Tunaweza kutumia dhoruba za maisha kupanda ngazi za juu zaidi. Wapambanaji huwa hawaogopi kufika hatua za juu zaidi. Wapambanaji huwa hawaogopi changamoto, zaidi huzikabili na kuzitumia kwa faida.
✅️✅️✅️Tai hupenda dhoruba. Mawingu yanapojikusanya, tai hufurahia, tai huutumia upepo wa dhoruba kupanda juu zaidi. Mara tai anapokutana na upepo wa dhoruba, huitumia dhoruba kupanda juu ya mawingu. Hii humpa tai fursa ya kuelea na kupumzisha mabawa yake. Wakati huo ndege wengine hujificha kwenye matawi na majani ya miti.
MAANA: Kabiliana na changamoto zako uso kwa uso huku ukitambua kuwa zitakuacha ukiwa imara na bora kuliko ulivyokuwa. Tunaweza kutumia dhoruba za maisha kupanda ngazi za juu zaidi. Wapambanaji huwa hawaogopi kufika hatua za juu zaidi. Wapambanaji huwa hawaogopi changamoto, zaidi huzikabili na kuzitumia kwa faida.
👍👍✔️Tai hupenda dhoruba. Mawingu yanapojikusanya, tai hufurahia, tai huutumia upepo wa dhoruba kupanda juu zaidi. Mara tai anapokutana na upepo wa dhoruba, huitumia dhoruba kupanda juu ya mawingu. Hii humpa tai fursa ya kuelea na kupumzisha mabawa yake. Wakati huo ndege wengine hujificha kwenye matawi na majani ya miti.
MAANA: Kabiliana na changamoto zako uso kwa uso huku ukitambua kuwa zitakuacha ukiwa imara na bora kuliko ulivyokuwa. Tunaweza kutumia dhoruba za maisha kupanda ngazi za juu zaidi. Wapambanaji huwa hawaogopi kufika hatua za juu zaidi. Wapambanaji huwa hawaogopi changamoto, zaidi huzikabili na kuzitumia kwa faida.
KweliTai hujiandaa kwa Mafunzo.
Huondoa manyoya na majani malaini kwenye kiota ili watoto wao wajisikie usumbufu katika maandalizi ya kuruka na hatimaye huruka pale ambapo huwawia vigumu kuendelea kukaa kwenye kiota.
MAANA: Achana na utulivu uliouzoea na raha, Hakuna kukua hapo.
Pambana...Usipambane ili KUIGA mitindo ya MAISHA ya WATU pambana KUBORESHA uhalisia Wako....
✅️✅️✅️Si lazima uwe mkamilifu, kuwa mwaminifu na kuwajibika tu.Hiyo inatosha kumfanya mwenzako ajisikie wa pekee
Kweli kabisa hiliUsimdharau mtu kwa ufukara wake, Ila mheshimu na mjali kwa utu wake.
Nakubaliana na hiliTatizo ni kwamba siku zote binadamu hajui anataka nini ukimfanyia Wema atasema unajikweza kwa Sababu wewe unacho, usipomfanyia wema atasema una roho mbaya, ukikaa kimya atasema unaringa, ukiwa mzungumzaji atasema unajifanya unajua kila kitu, Tunatakiwa kuishi nao kwa akili sana
Nakubaliana na hili piaMuamini mtu yeyote anayeweza kuona mambo haya matatu ndani yako. Huzuni uliyo nyuma ya tabasamu lako, Upendo ulio nyuma ya hasira yako, na Sababu iliyo nyuma ya ukimya wako
Sawa kabisaMuamini mtu yeyote anayeweza kuona mambo haya matatu ndani yako. Huzuni uliyo nyuma ya tabasamu lako, Upendo ulio nyuma ya hasira yako, na Sababu iliyo nyuma ya ukimya wako
✅️✅️✅️Tatizo ni kwamba siku zote binadamu hajui anataka nini ukimfanyia Wema atasema unajikweza kwa Sababu wewe unacho, usipomfanyia wema atasema una roho mbaya, ukikaa kimya atasema unaringa, ukiwa mzungumzaji atasema unajifanya unajua kila kitu, Tunatakiwa kuishi nao kwa akili sana
✔️✔️✔️Tatizo ni kwamba siku zote binadamu hajui anataka nini ukimfanyia Wema atasema unajikweza kwa Sababu wewe unacho, usipomfanyia wema atasema una roho mbaya, ukikaa kimya atasema unaringa, ukiwa mzungumzaji atasema unajifanya unajua kila kitu, Tunatakiwa kuishi nao kwa akili sana
📌📌📌Tatizo ni kwamba siku zote binadamu hajui anataka nini ukimfanyia Wema atasema unajikweza kwa Sababu wewe unacho, usipomfanyia wema atasema una roho mbaya, ukikaa kimya atasema unaringa, ukiwa mzungumzaji atasema unajifanya unajua kila kitu, Tunatakiwa kuishi nao kwa akili sana
👍👍👍Tatizo ni kwamba siku zote binadamu hajui anataka nini ukimfanyia Wema atasema unajikweza kwa Sababu wewe unacho, usipomfanyia wema atasema una roho mbaya, ukikaa kimya atasema unaringa, ukiwa mzungumzaji atasema unajifanya unajua kila kitu, Tunatakiwa kuishi nao kwa akili sana
SawaSi lazima uwe mkamilifu, kuwa mwaminifu na kuwajibika tu.Hiyo inatosha kumfanya mwenzako ajisikie wa pekee
✔️✔️✔️Sababu za kwanini usitishike na maisha ya watu mtandaoni;
1. 90% ni fake
2. Siyo maisha ya kila siku ya mtu
3. Haikusaidii kubadilisha maisha yako
4. Siku za kuhustle ni nyingi kuliko za kufurahi
5. Hujui watu wanapataje pesa.
Ishi maisha yako tumia kila siku moja vizuri