myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
ππNjia bora ya kupata umakini wa watu ni kuacha kuwapa umakini wako.
πππPESA si kila kitu katika maisha ya mwanadamu, ukiwa nayo kuna vitu vingi utavipata ila si VITU VYOTE . Hata kama utapata pesa nyingi weka HESHIMA NA UTU MBELE mana pesa haitadumu nawe muda wote bali UTU wako utadumu mioyoni mwa watu"
NajufunzaJIFUNZE KUTATUA CHANGAMOTO ZAKO MWENYEWE Changamoto unazokutana nazo katika maisha ,mtatuzi mkuu ni wewe mwenywe
Usiweke matumaini kwa watu wa nje kuja kukutatulia matatizo yako, mana dira na ramani ya maisha yako unayo mwenyewe
πππMsaada sio haki yako, ukinyimwa usianze kutoa lawama na makasiriko. Na ukimsaidia mtu sahau, usifanye kama deni lazima na yeye aje akusaidia utakuja kuwa diaappointed
β οΈβ οΈπWakati unajenga future yako usisahau kuishi. Kumbuka tunaishi mara moja tu, ukiishi huku unafurahia maisha basi hiyo mara moja inatosha
βοΈβοΈWakati unajenga future yako usisahau kuishi. Kumbuka tunaishi mara moja tu, ukiishi huku unafurahia maisha basi hiyo mara moja inatosha
Ujumbe huuTunza afya yako na fedha zako leo ukiwa na nguvu ili uje ufurahie matunda yake uzeeni
SawaKabla ya kumpenda mtu anza kujipenda mwenyewe, jijali,jiamini na jithamini
NakubalianaKama hauwezi kuwa msaada kwa watu basi usiwe kizuizi cha kupata msaada
βοΈβοΈUsiishi kwa chuki utajimaliza mwenyewe
Kama hauwezi kuwa msaada kwa watu basi usiwe kizuizi cha kupata msaada
Ukiwa na nafasi ya kumsaidia mtu usiichezee, wema hauozi
.Kwenye maisha kuna kupata na kujifunza,hivyo ukipata shukuru na ukikosa pia shukuru
Kutokuwajibika katika makosa yako na kutafuta mtu wa kumlalamikia katika kila jambo
Watu walikuwa kiakili na wanaojua umuhimu wa kutunza ustawi wa afya ya akili hawatakushangaa kupunguza marafiki wabaya na kuishi kwa kutokutegemea watu wengine
ILA UKIONA WATU WANAKUFUATILIA NA WANAKUONGELEA VIBAYA BASI UJUE HAO HAWANA KAZI YA KUFANYA
Kuona umecherewa katika maisha kwa kuangalia maisha ya watu wengine
Sawa NakubalianaWatu wanaojua umuhimu wa kutunza afya hawatokushangaa ukifanya mazoezi, kula vizuri kwa afya, kulala mapema na kuepuka vilevi na madawa ya kulevya, kwasababu wanajua gharama ya matibabu ni kubwa kuliko gharama ya kujilinda na magonjwa
Sawa NakubalianaWatu wanaojua umuhimu wa kutunza afya hawatokushangaa ukifanya mazoezi, kula vizuri kwa afya, kulala mapema na kuepuka vilevi na madawa ya kulevya, kwasababu wanajua gharama ya matibabu ni kubwa kuliko gharama ya kujilinda na magonjwa