Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
✔️✔️.Ukikosa usilalamike sana, Shukuru rudi nyumbani na kesho nayo ni siku, mungu anaona jitihada zako ipo siku utapata zamu yako itafika tu
AiseeKama umezungukwa na watu TOXIC, wanalaumu sana, wanalalamika sana, wanakushutumu, wanakuzushia uongo
Sawasawa ✔️ ✔️Kumpenda mtu ni jambo ambalo lipo ndani ya uwezo wako lakini kupendwa na mtu kama unavyompenda yeye ni jambo ambalo lipo nje ya uwezo wako. Hiyo basi ukiona mtu hakupendi usihangaike na yeye utakuwa unajichosha bali badilisha uelekeo wa hisia zako na Uamue kuachana nae.
SahihiKumpenda mtu ni jambo ambalo lipo ndani ya uwezo wako lakini kupendwa na mtu kama unavyompenda yeye ni jambo ambalo lipo nje ya uwezo wako. Hiyo basi ukiona mtu hakupendi usihangaike na yeye utakuwa unajichosha bali badilisha uelekeo wa hisia zako na Uamue kuachana nae.