Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kichwa ni askari aliyekomaa. Kuachwa achwa huku kumempatia uzoefu mkubwa sana. Nyie chezeni tu lakini mtakuja kushangaa Nsamaka anavuta hewa ya Kibiti [emoji23][emoji23][emoji23]Nimeshangaa ujue!!!! Ujasiri anaupata wapi kujipambanua mbele ya sammyluv,carba,nsamaka??? Alimwagwa pwaaaaa[emoji602] [emoji602]
Hata bisha ila atakuja na kawimbo hako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] hebu ngoja nimuulize Cole kwanza kama anakuamini
Mpaka hapo kashafeli tayariDenti yule sidhani kama atamuweza. Alikuwa anamsemesha binti kazama kwenye parablez tu. Ni mpenzi sana wa falsafa may be ajaribu kuingia kwa njia hiyo.
Pole pole shemeji. Don't hit below the belt! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inawezekana ukanyonga tai halafu ukaenda kusimamia harusi ya andjul na nsamaka tena au ukaja kwenye harusi yangu na Cole[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbavu zangu jamaniWe nenda tu nsamaka kabla ya kulala tuna ibada ya usiku kuanzia saa 9:30 usiku kila siku.
Acha tu we nenda tu huko.
Mzee wq mandunguli mandunguli tu sura yako imeanza kufanana na waganga uliopitia huko[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cole anajua kubembeleza bhana acha kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata bisha ila atakuja na kawimbo hako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Huyo mzee anaitwa mzee mandunguli mandunguli[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] Kichwa ujumbe wako huu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naacha shemeji...jamani jakitoo yupo?namiss uwepo wake humuPole pole shemeji. Don't hit below the belt! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unashusha nondo balaa aisee. Andjul na Carba inabidi wajipange...We umeipa dawa picha ya nsamaka maana hayo ni mawenge ukiachwa pole sana mkuu kwa kuchanganyikiwa hadi picha ya nsamaka unanywesha dawa.
Mtoto kalala hapa baada ya vuvuzela na matarumbeta tenu kwisha.
Nimemnywesha maji katulia nimemvunika hapa.
Si unajua nsamaka akilala sura yake ya utoto yote inarudi
Tusije tukaharibu bureUnata umuone?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Huyo mzee anaitwa mzee mandunguli mandunguli[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dr love kutoka somaliaHadi alichanganyikiwa akaanza kuimba pambio hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Anajifariji huyo hana mpyaUnashusha nondo balaa aisee. Andjul na Carba inabidi wajipange...
Sina uhakika kama nsamaka atapona mapema,yeye ni bingwa wa kulikoroga,sasa nijaribu kulikoroga mimi mimacho kodooo[emoji15] [emoji15] [emoji15] tchaaaa[emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]
We achana nao, ng'ombe wameshateuliwa fanya uje uwachukue, haiwezekani uwe unavunja amri kumi. Njoo nikupe ndoa ufurahie maishaHahaha kaka nae si atulie tu khaaa
Nipo. Nilikuwa sipo kwa masaa manne matano hivi nimekuta dadangu anataka kuhamishiwa Kibiti hata kabla hajapona vizuri. Purukushani hizi mpaka lini jamani?Shemeji nakusalimu