Iko miti ya kivuli, iko miti ya dawa, iko miti ya mbao, iko miti ya matunda, miti ya mazao,iko miti ya miiba, miti ya kunyonya sumu ardhini na mingine mingi. Ndivyo pia walivyo wanadamu. Wako sampuli tofauti, kwa madhumuni tofauti, kwa wakati tofauti. Muhimu ni kuwafahamu."