Tujifunze kuvumilia watu na machaguo yao ya maisha hata kama hayaleti maana akilini na machoni mwetu. Mengi ya machaguo yetu katika maisha ya leo ni fidia ya yale tuliyoyapania kuyafanya, au kuyamiliki huko nyuma ambayo hatukuweza kuyafanikisha kwa kuwa hatukuwa na uwezo nayo.”
Kabla haujadanganya jaribu kwanza kuuamini uongo wako. Ukiona unakupa kigugumizi ama kusita kuuamini wewe mwenyewe, jua ni vigumu uongo huo kuaminiwa na wengine. Uongo wako usipokushawishi, usishawishike kuongopa

Katika maisha na haswa kwenye ushindani, jenga tabia ya kutowaacha wenzako mikono mitupu. Gawana ushindi, sifa au mafanikio na wengine kupunguza nongwa. Wakijisikia nao kushinda japo kiasi wanapunguza kukukamia kwenye ushindani ujao."