myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Unatakiwa udhibiti matumizi ya mitandao ya kijamii kwasababu yatakufanya uwe mtumwa wa mawazo, husababisha huzuni, no rahisi kujilinganisha na kujitoa thamani
Unatakiwa uachane na kujichua kwasababu inaweza kusababisha uteja wa kihisia, upweke, maumivi ya kiuno na mgongo, mwili kuchoka, mbegu
Unatakiwa uache ulevi kwasababu itapelekea kupata magonjwa kama shinikizo la damu, saratani ya ini, shida ya figo na hata matatizo ya akili
Unatakiwa uache ulevi kwasababu itapelekea kupata magonjwa kama shinikizo la damu, saratani ya ini, shida ya figo na hata matatizo ya akili
Ujumbe huu muhimuUmaskini hautakuacha ikiwa utaendeleza tabia ya kutafuta pesa kisha kutumia pesa hizo kuwaonesha watu kuwa wewe sio maskini.
SAWASAWAHakuna mtu mwenye maisha bora kwa 100%, Ukimuona mtu anafuraha sana ni aidha mtu huyo anaigiza maisha na kuweka kinyago cha furaha au ameamua kukubaliana na hali na kutokushindana na vitu vilivyo nje ya uwezo wake, Pia hata wewe unahitaji kuishi kwa kukubaliana na hali uliyonayo
Sawa pia hiliUkiwa unatoka kwenye familia ambayo haina kitu basi kila utakachokipata utakishukuru na utakiheshimu, hautanyimwa furaha na maisha ya watu wengine, hautaona aibu kwenye kutafuta fedha na wala hautakata tamaa kwasababu kuna kundi kubwa la watu linakutegemea wewe mpambanaji wao
👍👍👍Acha kujilinganisha, kwasababu kila utakapojilinganisha na watu wengine lazima utaona kasoro tu, mwishowe utaishia kusononeka kwa vitu ambavyo hauna, utashindwa kujiamini, utajiona umechelewa kwenye maisha na utasahau una vitu vingi vya kushukuru ambavyo pia watu wengine hawana
✅️✅️✅️Acha kujilinganisha, kwasababu kila utakapojilinganisha na watu wengine lazima utaona kasoro tu, mwishowe utaishia kusononeka kwa vitu ambavyo hauna, utashindwa kujiamini, utajiona umechelewa kwenye maisha na utasahau una vitu vingi vya kushukuru ambavyo pia watu wengine hawana
HILI SAHIHIHakuna mtu mwenye maisha bora kwa 100%, Ukimuona mtu anafuraha sana ni aidha mtu huyo anaigiza maisha na kuweka kinyago cha furaha au ameamua kukubaliana na hali na kutokushindana na vitu vilivyo nje ya uwezo wake, Pia hata wewe unahitaji kuishi kwa kukubaliana na hali uliyonayo
PIA SAHIHIUkijifunza Kujipenda Kabla Ya Kupendwa,Hakuna Mtu Atakaekuja Na Kukuvunja Moyo Kirahisi Maana Utajua Thamani Yako Kabla Wao Kukuambia Wewe Ni Nani.
HILI KWELIUchungu Wa Leo Ni Nguvu Ya Kesho,Kila Jaribu Linalokuumiza,Kumbuka Linaacha Alama Ya Ukakamavu Ndani Yako.Usilalamike Kwa Maumivu,Yatunze Kama Ushahidi Wa Safari Yako Ya Ushindi.
Nakubaliana na hiliUkikosa kazi ya kufanya basi utaanza kufanya mambo yasiyo kuhusu, na ukianza kufanya mambo yasiyo kuhusu basi ni lazima utagombana na watu, hivyo basi fanya mambo yako yote maliza, muda ukiwa nao tumia kujitathmini, kujijenga na kujiimarisha utaepukana na mambo mengi
Hili pia liko sawaFuraha Si Kitu Cha Kupewa,Ni Kitu Cha Kuamuliwa.Amua Leo Kuishi Bila Hofu,Kuishi Kwa Shukrani,Na Kuishi Kwa Upendo.Maisha Ni Mafupi Sana Kuishi Bila Furaha.
UJUMBE HUU MUHIMUFARAJA NDOGO NI MWANGA MKUBWA KWA MWENYE GIZA LA HUZUNI..
SAWASAWAFARAJA NDOGO NI MWANGA MKUBWA KWA MWENYE GIZA LA HUZUNI..
✔️✔️✔️Usichokijua Ni Kwamba USALITI Ni Kama UJAUZITO Hata Ukifichwa Kwa Kiasi Gani Ila Kuna Siku Utatoka Nje Tu
Sawasawa ✔️Usichokijua Ni Kwamba USALITI Ni Kama UJAUZITO Hata Ukifichwa Kwa Kiasi Gani Ila Kuna Siku Utatoka Nje Tu
📌📌📌Ukianza Kuamini Unaanza Kutarajia,Na Huko Kutarajia Ndiko Kutatengeneza Uhalisia Wa Kile Unachokiamini Ili Kiweze Kuonekana Dhahiri Kwa Macho,Usiache Kuamini.