Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hapa umenisema mimiUkijakugundua watu wengi hujishauri kwa kushauri unaweza kuwahurumia sana na wenye ndoa za mfano, wenye kutoa maelekezo ya namna ya kumpenda mpenzi wako, wenye michongo na ushauri wa kujikwamua kifedha, wenye maisha unayoyatamani, wenye hik’ma na maisha yaso’na kasoro.