Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

What's going on here? Mbona siwaelewi elewi?
cocochanel
 
Kombe Mkuu linatua Emirates msimu huu, mbona itakuwa shidah! patashika nguo kuchanika si ajabu hata Queen anaweza kutangaza sikukuu ya Kitaifa kwa Gunners kutwaa ubingwa maana hatujachukua tangu mwaka 47!
BAK kwa usajili upi,? Sanches mbioni Mancity mpone kweli na mtakapoanza Europa majeruhi yatawamaliza

Mwanzoni mwa ligi mtatesa ikifika wakati wenu ni kilio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…