Tunakuja. Kesho nitawasiliana na wanaukoo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njoo mchukue mahari yenu
Afadhali sasa,maana ile ya kuzamishiwa limdole [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sema shemeji. Dole sasa hivi ni hatua ya mwisho kabisa baada ya vipimo vy damu kuonyesha hali ya wasiwasi. Tezi dume na colon cancer zinaua wanaume wengi kutokana na vipimo vyake kuwa na utata. Wanasema wakiweza kupata vipimo ambavyo siyo invasive basi rate ya kupima itaongezeka na watakaopona watakuwa wengi pia!
Kwema sister? Unaonekana hapa kwa shida siku hizi. Jana shemeji QUIGLEY alikuwa hapa anahaha kukutafuta. Sijui kama alifanikiwa kukuona....
Wanaume tuna kiburi sana. Yaani mtu anauchuna tu kisa hataki kukitwa dole. Pamoja na hayo matibabu ya tezi dume ni delicate sana kwa sababu kosa kidogo tu jogoo halipandi mtungi tena. Na watu wanaona kuwa ni afadhali kufa na tai shingoni kuliko kuishi maisha ya uhanithi!Afadhali sasa,maana ile ya kuzamishiwa limdole [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwema kabisa uncle wako kaniharibia simu basi napata shida kweli ,sijamuona kabisa limupenzi langu QUIGLEYKwema sister? Unaonekana hapa kwa shida siku hizi. Jana shemeji QUIGLEY alikuwa hapa anahaha kukutafuta. Sijui kama alifanikiwa kukuona....