HahahahaNakuponda na rungu la like sitaki maneno
10:139:22
AMUN RA
UNIVERSE is on my side forever
Bad oneGood one
Kula likes
Kula chuma kwanzaAMUN RA
Kula chuma na family yakoMalumbano ya waungwana hekima hutawala,hatma ya malumbano hayo,ndiyo mwanzo wa amani katika eneo husika.BAK+SHIMBA YA BUYENZE=amani kwenye familia yetu.[emoji120] [emoji120] Mungu akawe pamoja nanyi
Dogo leo umeamka vizuri sana. Hongera kula likeSio lazima kila mtu ashiriki kwenye maeneo ya makwazo ndio aonekane mpambanaji.Wengine tumezaliwa kwenye neema,tunakula kwa mujibu wa ratiba ya mama itakavyo.Komaa kuandika point,nasi tuna komaa na kitonga,muda wa kula LIKE ukifika wote tutakutana mezani.Pole sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Save usBut when he saw the wind boisterous, he was afraid; and beginning to sink, he cried, saying, Lord, save me.
Hahahhahahhahahah. Andjul duuu umeua leo[emoji124] [emoji124] [emoji124] mtoto wa shule kuna muda akili zikikukaa sawa una maneno ya hekima sana.Nakuombea ufaulu vizuri mtihani wako wa mwezi November ili mwakani ujiunge kidato cha tano. Ubarikiwe sana[emoji120] [emoji120]
10:169:11
AMUN RA
UNIVERSE is on my side forever